Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Nimeingia hii thread kuitafuta hii picha inayoonekana nichekeKainunulie hii handle yake View attachment 1122245
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeingia hii thread kuitafuta hii picha inayoonekana nichekeKainunulie hii handle yake View attachment 1122245
Ulijuaje kama ipo humu?Nimeingia hii thread kuitafuta hii picha inayoonekana nicheke
Tatizo unatumia browser unapitwa kumbe hujui mambo yalivyobadilikaUlijuaje kama ipo humu?
Aisee! Kweli mambo yamebadilika ila hizo app mtu hupati notifications kwa muda...
Hii imenitokea juzi kati. Shenzi kabisa kile kidem.Huwa nachat na madanga mapya mtandaoni na kuyatapeli nauli
MhAisee! Kweli mambo yamebadilika ila hizo app mtu hupati notifications kwa muda...
Naona unatumia Samsung alafu matumizi yako ya Mb ni makubwa sana
Ahaa kumbe ndo wewe uliyeniambia upo postaHuwa nachat na madanga mapya mtandaoni na kuyatapeli nauli
Kwani kuna jf call siku hizi?Mh
Ebu nipigie kwanza unieleweshe vizuri
Ebu uko mfyuuuuKwani kuna jf call siku hizi?
[emoji23][emoji23]
Nitumie namba basiEbu uko mfyuuuu
mkuu uko vizuriHii imenitokea juzi kati. Shenzi kabisa kile kidem.
Nipo zangu singidani.
Kakaniambia eti nimtumie nauli aje.
Si nikatuma 15k ili aje yeye anatokea dom.
Baada ya masa kadhaa akasema amezuiwa na mama ake.
Nilimlaani balaa.
Ila amenifundisha mengi sana.
Siku nikikamata NITAKILA pande zote shenzi kaze.
BR
UDUZUNGWA.
Lazima aitapike hii 15k.mkuu uko vizuri
Mkuu upo udzungwa NpLazima aitapike hii 15k.
Simuachi kwa kweli
BR
Uduzungwa
Demiss wa Hombolo[emoji3][emoji3][emoji3]
BangiSikiliza babulae,Kwanza PM maana ake ni Prince Mikazo,So ili kufika pita hii Wanchi wanchi knich knach.mbele mbele yao unapita hivi kwa kina Omary fas duas paa unakaa mafuta ya taa,,Imeisha iyo Dingii
Kumbe sikuiz umejua kiingereza?Naperuzi Jf mwanzo mwisho, siku hiyo nitaingia mpaka international forum
Idiot umebadirishana wazo gani?Mi movie sana, mana napakua mm na kula mm, kipendwa changu ndo icho, au kucheki mambo jf kama hiv kubadilishana mawazo na wadau
Kwani huko zinapostiwa za kizungu tu?Kumbe sikuiz umejua kiingereza?
Mara nyingi ni mambo ya Lebanon Austria , middle East hayapostiki kibongoKwani huko zinapostiwa za kizungu tu?