Ukiwa pekeyako nyumbani huwa unafanya nini kama huna kazi?

Huwa nachat na madanga mapya mtandaoni na kuyatapeli nauli
Hii imenitokea juzi kati. Shenzi kabisa kile kidem.
Nipo zangu singidani.
Kakaniambia eti nimtumie nauli aje.

Si nikatuma 15k ili aje yeye anatokea dom.
Baada ya masa kadhaa akasema amezuiwa na mama ake.
Nilimlaani balaa.

Ila amenifundisha mengi sana.
Siku nikikamata NITAKILA pande zote shenzi kaze.

BR
UDUZUNGWA.
 
Aisee! Kweli mambo yamebadilika ila hizo app mtu hupati notifications kwa muda...

Naona unatumia Samsung alafu matumizi yako ya Mb ni makubwa sana
Mh

Ebu nipigie kwanza unieleweshe vizuri
 
mkuu uko vizuri
 
Sikiliza babulae,Kwanza PM maana ake ni Prince Mikazo,So ili kufika pita hii Wanchi wanchi knich knach.mbele mbele yao unapita hivi kwa kina Omary fas duas paa unakaa mafuta ya taa,,Imeisha iyo Dingii
Bangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…