The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Ukiwa rais, hata mbwa wako anakuwa rais wa mbwa wote. Ukiwa rais, hata kuku wako anakuwa rais wa kuku wote, ukiwa rais, kila kitu kwa watu wako kinakuwa rahisi.
Ukiwa rais, hata gari lako ni rais wa magari yote nchini mwako. Tulizoea kuyasikia haya huko Congo zote, Equatorial Guinea, na Libya wakati wa Gaddafi. Sasa tunayaona. hapa kwetu.
Kweli. Kuishi kwingi ni kuona mengi. Mama hoyeee!! Abdul hoyeeee! Jakaya. hoyeee!
Najiwajiwazi kimya kimya tu.