Ukiwa safarini ukakutana na vitu hivi utafanyeje?

Ukiwa safarini ukakutana na vitu hivi utafanyeje?

Mara nyingi kwenye situation kama hizi ukiwa na chamoto uwezekano wa wewe kuuawa unaongezeka maradufu kuliko ukiwa huna. Ukiwa huna cha moto sanasana watakuibia na kukupiga unless wawe ni vibaka tu na sio wazee wenyewe wa kazi. Kama ni wenyewe lazima wakuwahi.
Hili nalo ni kweli kabisa
Maana kama tayari labda tairi zimeshaburst wakiona una cha moto ni wao tu watakusubiria hivyo virisasi sita saba ulivyonavyo viishe hewani wakufwate sasa maana ni porini na kwa kukimbilia huna
 
Hawa watakuwa na silaha za jadi; kama una silaha, unafyatua risasi mbili hewani, alafu unageuza
 
Hapo unapita vizuri tu, hapo gari ilipo inakwenda upande wa kulia zaidi alafu umakunja kushoto kiaiana alafu tairi za kushoto zinapita jirani kabisa na hivyo vigingi vilivyotoa gap, inapendeza upite na speed ile ile uliokuja nayo bila kupunguza.

Ikitokea bahati mbaya labda Tairi moja la nyuma linaweza likagusa ila ukiwa speed hata kama litatoboa gari itakusogeza mbali kidogo tofauti na ukipita kwa kunyata upepo unakuishiq hapo hapo
 
kwa mzoefu wa misala hapo unapita vizuri sana.. hutoboi hata tyre... but usalama kabla ya kutembe usiku ujue njia upitazo na tabia zake, ila cha moto muhimu sana kama mtu wa safari za usiku watu wabaya sana siku hizi..
Tena hapo ukiwa na chamoto unasimama..unazima taa ghafla...unafungua mlango wadereva ..alafu unashukia mlango wa abiria
 
Back
Top Bottom