Ukiwa safarini ukakutana na vitu hivi utafanyeje?

Ukiwa safarini ukakutana na vitu hivi utafanyeje?

Kuna kona kali Singida jamaa walikuwa wanaweka mawe na kuwaibia madereva /abiria vitu vyaoo

Pia ukiwa unaelekea Mbeya baada ya njia panda ya Ubaruku/Mbarali kuna eneo nalo walikuwa wakiwafanya wizii
 
Upo safarini usiku mnene, uko peke yako, unakatiza mapori mara hamaad. Unakutana na vitu kama hivyo barabarani.

Utafanyaje?

View attachment 2707516

Unatakiwa usimamie mbali usisogelee hata kidogo angalia kulia kushoto na nyuma usipoona mtu piga reverse moja kali sana ukipata kaupenyo unageuza fasta na kurudi ulikotoka. Ilishanikuta hii Biharamula jamaa wamepanga mawe tuna gari ya chini tulikuwa tumefuatana na jamaa wa mwenye difenda alivyo mkorofi alipita kama rocket pale pale akayasambaratisha yale mawe na sie tukapata upenye tukapita.
 
Hapo ushaingia 18 zao,kama sio John wick basi hakikisha unatimua mbio kama huna Akili nzuri,mali inatafutwa.
 
Back
Top Bottom