Ukiwa safarini ukakutana na vitu hivi utafanyeje?

Hili nalo ni kweli kabisa
Maana kama tayari labda tairi zimeshaburst wakiona una cha moto ni wao tu watakusubiria hivyo virisasi sita saba ulivyonavyo viishe hewani wakufwate sasa maana ni porini na kwa kukimbilia huna
 
Hawa watakuwa na silaha za jadi; kama una silaha, unafyatua risasi mbili hewani, alafu unageuza
 
Hapo unapita vizuri tu, hapo gari ilipo inakwenda upande wa kulia zaidi alafu umakunja kushoto kiaiana alafu tairi za kushoto zinapita jirani kabisa na hivyo vigingi vilivyotoa gap, inapendeza upite na speed ile ile uliokuja nayo bila kupunguza.

Ikitokea bahati mbaya labda Tairi moja la nyuma linaweza likagusa ila ukiwa speed hata kama litatoboa gari itakusogeza mbali kidogo tofauti na ukipita kwa kunyata upepo unakuishiq hapo hapo
 
kwa mzoefu wa misala hapo unapita vizuri sana.. hutoboi hata tyre... but usalama kabla ya kutembe usiku ujue njia upitazo na tabia zake, ila cha moto muhimu sana kama mtu wa safari za usiku watu wabaya sana siku hizi..
Tena hapo ukiwa na chamoto unasimama..unazima taa ghafla...unafungua mlango wadereva ..alafu unashukia mlango wa abiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…