Ha ha haTena hapo ukiwa na chamoto unasimama..unazima taa ghafla...unafungua mlango wadereva ..alafu unashukia mlango wa abiria
Upo safarini usiku mnene, uko peke yako, unakatiza mapori mara hamaad. Unakutana na vitu kama hivyo barabarani.
Utafanyaje?
View attachment 2707516
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na gari manual mimi ndio kabiiisaaaa kichaa kingezidi maana hizo harakati za kubadili gia tayari gari imeshazima [emoji1]
mtindo wa hicho kizuzui na cha watu wasio jiamini kama wana betTena hapo ukiwa na chamoto unasimama..unazima taa ghafla...unafungua mlango wadereva ..alafu unashukia mlango wa abiria
Acha story za vijiweniKitendo cha kugeuza tu. Wajuba hawa hapa!