mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Arsenal bora arudi Wenger tuuhakuna timu isiyofungwa, hayo ni mapito tu, itakaa sawa sawa
Arsenal ndio basi tena mwaka wa ngapi imeshindwa kuwa ndani ya big 4,inacheza Uropa ligi na mwaka huu ndio mwisho hata Uropa haitaionahakuna timu isiyofungwa, hayo ni mapito tu, itakaa sawa sawa
Kufa ghafla siwezi aiseee Mana me mwenyewe Arsenal damu,,,Pale Arsenal hatupangi kushindwa Ila tunashindwa kupanga. Ila dah mechi 20 pointi 24 πππHakika nawaonea huruma sana mashabiki wa Klabu ya Arsenal.Klabu isiyo na uhakika wa kushinda mechi,iwe inacheza ugenini au uwanja wa nyumbani,wakishinda sana ni Draw match.Nadhani wamiliki wa Klabu ya Arsenal sio watu wa Mpira wapo pale kibiashara tu,timu inavurunda timu inauza wachezaji muhimu ,timu inasajili wachezaji wenye uwezo mdogo,ni vema Arsenal ikawekeza kwa vijana wadogo na kuwapa mechi kama ifanyavyo Chelsea na Bayern ili mwisho wa siku iepukane na Usajili ambao Arsenal haina uwezo wa kusajili wachezaji wenye uwezo mkubwa.Kwa mwenendo huu Mashabiki wa Arsenal mjiandae Kufa ghafla kwa hayo matokeo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Wenger aje kwa mkopo
hakuna timu isiyofungwa, hayo ni mapito tu, itakaa sawa sawa
Mkuu ingekuwa hamshabikii kwa ajili ya makombe isingeingia kwenye mashindano yoyoteWatu hatushabikii arsenal sababu ya makombe au big 4..
Mfano mimi toka naanza shabikia arsenal mwaka 2007 sijawahi kuchukua EPL... nimechukua FA na ngao ya hisani tu NA BADO SINA MPANGO WA KUHAMA TIMU..
watu wangekuwa wanashabikia mpira kisa makombe nadhani watu woote walioshabikia mpira kuanzia 2008 wangekuwa madrid na barca maana kule wanapata kila kitu kuanzia soka safi hadi makombe..
Arsenal.tunaishabikia hata ilishuka daraja tutashuka nayo na tutapanda nayo.. mambo ya kupoteza mechi 6 ndio soka lenyewe na ndio inafanya soka liwe exciting
Wakati naanza kushabikia somo man u ilikua kwenye peak , barca ilikua moto.. unadhani kwa nini sikuchagua team iliyochukua epl au uefa mwaka huo??Mkuu ingekuwa hamshabikii kwa ajili ya makombe isingeingia kwenye mashindano yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app