samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Asenali itatuua kiukweli jamani, ila nasie hatukomi kabisa sijui tumelogwa si tuhamie man U
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni utani uliopitilizaHakika nawaonea huruma sana mashabiki wa Klabu ya Arsenal.Klabu isiyo na uhakika wa kushinda mechi,iwe inacheza ugenini au uwanja wa nyumbani,wakishinda sana ni Draw match.Nadhani wamiliki wa Klabu ya Arsenal sio watu wa Mpira wapo pale kibiashara tu,timu inavurunda timu inauza wachezaji muhimu ,timu inasajili wachezaji wenye uwezo mdogo,ni vema Arsenal ikawekeza kwa vijana wadogo na kuwapa mechi kama ifanyavyo Chelsea na Bayern ili mwisho wa siku iepukane na Usajili ambao Arsenal haina uwezo wa kusajili wachezaji wenye uwezo mkubwa.Kwa mwenendo huu Mashabiki wa Arsenal mjiandae Kufa ghafla kwa hayo matokeo.
Sent using Jamii Forums mobile app