Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wetu aliyetupa ujasiriView attachment 1307513
Yale sio mapito tena, zaidi ya miaka 10 sasa Arsenal haileweki unasemaje mapito? Kwasasa sio mapito tena ishakuwa kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hawa wameanza kushabikia hizi timu jana tuUmewauliza Tottenham na Man city walipitia miaka mingapi kufika hapo walipo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika nawaonea huruma sana mashabiki wa Klabu ya Arsenal.Klabu isiyo na uhakika wa kushinda mechi,iwe inacheza ugenini au uwanja wa nyumbani,wakishinda sana ni Draw match.Nadhani wamiliki wa Klabu ya Arsenal sio watu wa Mpira wapo pale kibiashara tu,timu inavurunda timu inauza wachezaji muhimu ,timu inasajili wachezaji wenye uwezo mdogo,ni vema Arsenal ikawekeza kwa vijana wadogo na kuwapa mechi kama ifanyavyo Chelsea na Bayern ili mwisho wa siku iepukane na Usajili ambao Arsenal haina uwezo wa kusajili wachezaji wenye uwezo mkubwa.Kwa mwenendo huu Mashabiki wa Arsenal mjiandae Kufa ghafla kwa hayo matokeo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna cha Wenger wala nini, hata akiletwa Klopp pale timu ile haiendi kokote. Tatizo sio kocha ni ubora wa wachezaji.
Sio Klopp ni world class sets of playersKuweni wavumilivu, hata Liverpool nayo miaka michache iliyopita ilikuwa inasuasua tu. Ila kwa sasa wanatabasamu muda wote! maana Klopp anawafikisha tu kileleni.
Chelsea imeibuka baada ya kuja AbromovichMkuu hawa wameanza kushabikia hizi timu jana tu
Chelsea yenyewe imekuwa kwa ajili ya Mourihno
Hivi wanaujua mziki wa Leeds United enzi nzake
Mkuu hakuna mtu atajua ile Leeds ya David O Leary ambayo ilifika mpaka nusu fainali ya UEFA Champions League, lakini leo wako Championship.Mkuu hawa wameanza kushabikia hizi timu jana tu
Chelsea yenyewe imekuwa kwa ajili ya Mourihno
Hivi wanaujua mziki wa Leeds United enzi nzake
Ndio tunayoyatarajia kwa Arsenal...Mkuu hakuna mtu atajua ile Leeds ya David O Leary ambayo ilifika mpaka nusu fainali ya UEFA Champions League, lakini leo wako Championship.
Acha dharau mkuu
Hakika nawaonea huruma sana mashabiki wa Klabu ya Arsenal.Klabu isiyo na uhakika wa kushinda mechi,iwe inacheza ugenini au uwanja wa nyumbani,wakishinda sana ni Draw match.Nadhani wamiliki wa Klabu ya Arsenal sio watu wa Mpira wapo pale kibiashara tu,timu inavurunda timu inauza wachezaji muhimu ,timu inasajili wachezaji wenye uwezo mdogo,ni vema Arsenal ikawekeza kwa vijana wadogo na kuwapa mechi kama ifanyavyo Chelsea na Bayern ili mwisho wa siku iepukane na Usajili ambao Arsenal haina uwezo wa kusajili wachezaji wenye uwezo mkubwa.Kwa mwenendo huu Mashabiki wa Arsenal mjiandae Kufa ghafla kwa hayo matokeo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni kweli, mie ni Arsenal nilianza kuipenda Arsenal, miaka ya 97, ya akina Christopher Wreh et al.Acha dharau mkuu
Arudi kufanya nini? Timu imemkondesha utafikiri mzee wa watu kala karatasi ya nylon? Wamwache apumzike wasije wakamuua bure[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38]
kushuka daraja never, ila chamoto tutakiona aseeHiyo ni kweli, mie ni Arsenal nilianza kuipenda Arsenal, miaka ya 97, ya akina Christopher Wreh et al.
Naiona Arsenal ikishuka daraja kama hakutakuwa na maingizo mapya ya wachezaji wenye viwango.
Sent using Jamii Forums mobile app