Ukiwa shabiki wa Arsenal unaweza kufa wakati wowote

Huyu Stan Kroenke ndio mchawi..kama Italy angepigwa chuma
 
Hatujaanza kuishabikia leo wala jana wasioipenda mnywe sumu na msage chupa mlambe

Wadada bwana wako akiwa shabiki
Wa arsenal hapo umepata mtu makini na mvumilivu[emoji123][emoji123][emoji123]
 

Purely novice in football, you reasons to shout
 
Mkuu hawa wameanza kushabikia hizi timu jana tu
Chelsea yenyewe imekuwa kwa ajili ya Mourihno

Hivi wanaujua mziki wa Leeds United enzi nzake
Mkuu hakuna mtu atajua ile Leeds ya David O Leary ambayo ilifika mpaka nusu fainali ya UEFA Champions League, lakini leo wako Championship.
 
 
Mwl alienda St. Thomas anapungia huku anatabasamu! Kumbe ndio ilikuwa baba Jane! Nani huyo hana uhakika wa kufa wkt wowote? Waliomsema EL mgonjwa 2015 wengi wao tumewazika!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…