Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Kwahiyo wewe umeuza nini sasa 😂
Ilikuwa mikoa ya kusiniIle ishu ya tanga sijui na wapi vile iliyopelekea tume kuundwa ilifikia wapi? Dogo alienda kudai chake polisi hakurudi tena mpaka ilipotangazwa alijiua kwa tambara la deki(kama sikosei)
Tanzania ukiwa na fedha nyingi chunga sana haya makundi 2 yasijue. 1. Majambazi 2. Polisi. Uko sahihi kabisa. Polisi kujua umebeba fedha nyingi ni hatari kwa maisha yako.Umeuza mazao yako, madini yako nyumba yako etc.
Fanya uwezalo hawa jamaa wasijue, usiniulize sababu.
Uzi tayari
View attachment 2559375
Mbona hazitokei kwa wakazi wa Dar?Kule mtwara ,kule mahenga na zombe kamanda. Yaani huwa Ni majambazi kwa mgongo wa uniform
Kwani dar Kuna watu Wana hela mbali na mkoani
Umeuza mazao yako, madini yako nyumba yako etc.
Fanya uwezalo hawa jamaa wasijue, usiniulize sababu.
Uzi tayari
View attachment 2559375
Bora ya jambazi anaweza achukue pesa akakuachia uhai wako. Polisi wanakumaliza kabisa kuondoa ushahidi.Tanzania ukiwa na fedha nyingi chunga sana haya makundi 2 yasijue. 1. Majambazi 2. Polisi. Uko sahihi kabisa. Polisi kujua umebeba fedha nyingi ni hatari kwa maisha yako.
Uko sahihi. Tanzania tuna baadhi ya polisi vibaka na majambazi.Hawa Jamaa ni zaidi ya majambazi..kuna mshikaji wangu anafanya biashara za minadani..Huwa wanasafiri pamoja na kama unavyojua wakirejea Toka masokoni Huwa na vibunda vya kutosha .anasema Huwa wakikutana na askari usiku hudanganya wanatoka msibani ,la sivyo mnageuzwa kitega uchumi
Nimelumbuka kesi ya Abdallah Zombe baada ya kunusa pesa za wafanyabiashara wa Madini wakaamua kuwaua ili wabebe pesaUmeuza mazao yako, madini yako nyumba yako etc.
Fanya uwezalo hawa jamaa wasijue, usiniulize sababu.
Uzi tayari
View attachment 2559375
Na kweliUzi tayari
Kina yuda escariotUmeuza mazao yako, madini yako nyumba yako etc.
Fanya uwezalo hawa jamaa wasijue, usiniulize sababu.
Uzi tayari
View attachment 2559375