Ukiwa umebeba pesa nyingi fanya kila uwezalo Polisi wasijue

Ukiwa umebeba pesa nyingi fanya kila uwezalo Polisi wasijue

jeshi la polisi limejaa vibaka, rejea walioko barabarani (traffic) ukiwatizama machoni ni macho ya uizi uizi tupu, na utapeli rushwa...vijambazi vitupu yaani. Hata huko polisi wazee wa kubambika kesi na kuanza kudai rushwa ili usaidiwe..yaani huko ndiko kumejaa majambazi kwa koti la kiistaraabu....ila yote hayo yanamwisho wake, watabadilika
 
Haya yanayosemwa hapa kama hujawahi kukutana na matukio ya kunyan'ganywa fedha na police waweza sema labda ni chuki binafsi watu walizonazo juu ya police lakini ,kuna baadhi ya police are real criminals in police uniforms na hawa ndio wanafanya raia kuchukia police kupindukia maana unafanyiwa unyama wauonevu, waziwazi alafu huna pakukimbilia una mwachia Mungu
 
Back
Top Bottom