jeshi la polisi limejaa vibaka, rejea walioko barabarani (traffic) ukiwatizama machoni ni macho ya uizi uizi tupu, na utapeli rushwa...vijambazi vitupu yaani. Hata huko polisi wazee wa kubambika kesi na kuanza kudai rushwa ili usaidiwe..yaani huko ndiko kumejaa majambazi kwa koti la kiistaraabu....ila yote hayo yanamwisho wake, watabadilika