Ukiwa umeenda kuosha gari zingatia haya

Ukiwa umeenda kuosha gari zingatia haya

kuna vitu umeongea vina ukweli kabisa hasa kupekuw pekuwa kwenye gari na kama umeacha labda beats zako unakuta zimeliwa kabisa nilinunua vitu vya mtoto chocolate 🍫 korosho na biscuits sikukuta niliishia kuguna tu sikutaka ugomvi nikasep ata ukiangusha pesa kwenye gar wakaikuta ni ya kwao hawakupi
Watakuja kufa vibaya..😂 kuna mmoja kazini alikula cookies kumbe ni zile za Bangi.. tulizani anakufa hiyo siku.

Maana kuna Mzungu alisahau lunchbox yake, yeye kwa uroho wake akabeba kwenda kula.
 
Ni kwa wahuni baadhi tu kama hao uliokutana nao, sehemu zingine ukifika unakabidhi gari na utakuta kila kitu chako kipo hata kama ulisahau 10k utaikuta
Ni kweli. Sehem inaweza isiwe na Uwizi ila hiyo tabia ya kutaka kuendesha/kusogeza gari mara kwa mara ikakutia hasara.
 
Zipo sehemu za hovyo japo sio zote kwangu walichomoa kile kiplastic cha sehemu ya kufungulia tank ya mafuta. Niliporudi wakasema hawajaona na ni car wash very smart ila nadhani walipata kijana wa kazi wa hovyo. Since that day sijaenda tena.
Mkuu, mara nyingi huwa wanapewa order na baadhi ya watu. So gari yako ukienda nayo na hicho kitu kipo ndio wanakupiga hapo. Na mara nyingi huwezi gundua haraka haraka.
 
haya wenye magari yenu hivi haiwezekani kuosha gari nyumbani?
Kuosha nyumbani inategemea na Mazingira pia na ratiba zako.

Mfano upo safarini na ni kipindi cha Masika je utaosha wapi zaidi ya kwa hawa jamaa? Kuosha nje ya nyumbani haiepukiki. Car wash ni biashara ya uhakika lazima gari itakuja kuoshwa tu. Ni kama Hospital na Wagonjwa au Mgahawa na Walaji.
 
Umeeleweka mkuu!! ila Muda mwingine uwe unaacha kiasi kidogo makusudi kupima uaminifu wao ..
Wengine wajanja hela hawagusi.. wao wanadeal na vitu ambavyo ww kivyovyote kujua itakuchukua muda sana.. mfn una flash drives nyingi ktk gari na sehem uliyoweka inaonyesha hujapagusa siku nyingi au hauna access napo mara kwa mara.. lazima apite nayo.
 
Kuosha nyumbani inategemea na Mazingira pia na ratiba zako.

Mfano upo safarini na ni kipindi cha Masika je utaosha wapi zaidi ya kwa hawa jamaa? Kuosha nje ya nyumbani haiepukiki. Car wash ni biashara ya uhakika lazima gari itakuja kuoshwa tu. Ni kama Hospital na Wagonjwa au Mgahawa na Walaji.
ooooh nimeelewa mkuu
 
Fanya Practical ewe mwenye gari:

Nunua Chocolate ama biscuits kidogo zipake pilipili kichaa za kutosha nenda nazo car wash, ziache kwenye gari halafu uone hao TUMBILI wadokozi watakavyolia na kusaga meno..

Hutaua ila utawakomesha!

Baadae waambie zilikua za kutegemea panya nyumbani
😂😂😂 huu mtindo wa kula vitu ndani ya gari kumbe upo? Naskia hata pombe mfano Wine ukiwa umeifungua alaf ukanywa kdg ukaacha huwa wanakunywa kdg wanarudishia.

Watakufa vibaya hawa.
 
2009 NILIACHA NOAH SINZA WAOIOSHA GARI

NKAENDA GUEST

MAVIMKOJOÒ NIKO B BAR NAPIGIWA SIMU KAKA UKO WAPI NA BOSS WA CAR WASH

KUFIKA NAMBIWA AISEE KUNA KAKA NILIMTUMA XXXX NYOKOOO NKAMWAMBIAA NDUGU NAOMBA GARI YANGU

AKAJIBU IPO SEMAA WAMEMGUSA GARI FLAN NKAJIBU NATAKA GARI NKAITA NDUGU YANGU MWANASHERIA AKAJA

AKAMSAINISHA AKAPIGA SIMU TUKACHKUE GARI WIKI INAYOFWATA

HUKU MBEZI BEACH NJIA YA RAINBOW TO TANKIBOVU MAKABURINI KUNA KONA MAMAYEEE

USIKUUU IMOO OOOOO

HIOOKONAA NYOKOOO BALAAA KUNA NYUMBA YA MTU KILA UKIAMKA ASBH GARI IMEINGIA NDAN HAHAHAA ALIOGA HELA YULE MAZA SIJUI KAMA YUKO HAI LOH
😁mkuu una andika aisee🤔
 
kuna vitu umeongea vina ukweli kabisa hasa kupekuw pekuwa kwenye gari na kama umeacha labda beats zako unakuta zimeliwa kabisa nilinunua vitu vya mtoto chocolate 🍫 korosho na biscuits sikukuta niliishia kuguna tu sikutaka ugomvi nikasep ata ukiangusha pesa kwenye gar wakaikuta ni ya kwao hawakupi
Unagari
 
Back
Top Bottom