RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Baada ya wiki. Na hao ndio niliwapa waoshe na ndani. Siku hizi naweka kwenye glove box,nafunga siwapi funguoAisee na uligundua baada ya muda gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya wiki. Na hao ndio niliwapa waoshe na ndani. Siku hizi naweka kwenye glove box,nafunga siwapi funguoAisee na uligundua baada ya muda gani?
Ndio inavyokuwa, ukiibiwa huwezi gundua hapo hapo.. pole aisee.Baada ya wiki. Na hao ndio niliwapa waoshe na ndani. Siku hizi naweka kwenye glove box,nafunga siwapi funguo
Na kwa usumbufu aliowaletea je.. mlichukua hatua gani? Pia huyo police akili yake sio nzuri.Muda mwingine Wateja mnatukwaza sana
Kuna Jamaa alileta Gari kuosha
Jamaa alikuwa na Milion 5 ndani ya Gari na aliziweka nyuma ya Seat alivyodai
Gari ilikuwa ni Hilux Pick up zile znazosambaza sigara,Dogo aliyeosha alitoa vitu vyote alivyovikuta kwenye Gari na kuosha Gari kisha kuvirudisha na kumkabidhi Gari
Jamaa aliondoka baada ya masaa 2 Jamaa alirudi Car Wash akiwa na Polisi anamuulizia Dogo aliyeosha Gari lake Dogo alikuwa katoka kaenda Shop nilimuuliza kuna Shida?
Jamaa alifoka sana akilalamika kuwa Dogo ameiba milion 5 zake mara Dogo akarudi kabla ya kuulizwa yule Polisi akamkunja Dogo Shati na kumwambia arudishe pesa alizochukua kwenye Gari
Dogo aliwaambia kuwa yy alitoa vitu vyote kwenye Gari na kuvirudisha Kama vp waende wakaangalie Kwenye gari walienda na waluikuta huo mfuko wenye Pesa ila Dogo aliuweka upande wa kushoto na mwenye Gari anadai yy aliuweka upande wa kulia kabla yakuja Car wash
Jamaa alianza kumsifia Dogo kuwa ni Mwaminifu na kutaka kuondoka
Mimi nilimshauri Azihesabu Pesa zake kabla ajaondoka kwel alizehesabu na kusema zmetimia pia
Nlimwambia siku nyngne awe makini na vitu vyake anapokwenda Car Wash.
Na kwa usumbufu aliowaletea je.. mlichukua hatua gani? Pia huyo police akili yake sio nzuri.
Labda IST unaweza kuchanganya na vyombo vya nyumbani.haya wenye magari yenu hivi haiwezekani kuosha gari nyumbani?
Labda IST unaweza kuchanganya na vyombo vya nyumbani.
Hapana. Hiyo inabidi uipeleke car wash kabisaView attachment 3110307
naongelea hiii
Ukishafika hizi level, wewe siyo wa kuuliza bei za mafuta. Hongera zake nyingi mwenye hiki chombo. Anaziishi ndoto za wengi.View attachment 3110307
naongelea hiii
saana na sikuizi ziko nyingi sana mjiniUkishafika hizi level, wewe siyo wa kuuliza bei za mafuta. Hongera zake nyingi mwenye hiki chombo. Anaziishi ndoto za wengi.
Ndugu yangu ndo uchumi wa Kati huo. Unfortunately ni kwa wachache wenye kamba ndefu.saana na sikuizi ziko nyingi sana mjini
mi waniambie tu wanakotoa hizo hela na mi niendeNdugu yangu ndo uchumi wa Kati huo. Unfortunately ni kwa wachache wenye kamba ndefu.