Ukiwa umeenda kuosha gari zingatia haya

Ukiwa umeenda kuosha gari zingatia haya

Mi nmemiliki gar tangu mwaka 1998 nikiwa mtoto ad leo hii ayo unayosema yanaweza kua na ukwel au hapana
Mi nilichojifunza ni kua na sehemu chache zakuoshea gari zako kwa mfano mm nina hesemu 3 zakuoshea gar zangu na miaka yote huwa naoshea izo sehemu so wananijua na wananieshimu,

ila ninapokua mikoan huwa najitaid sana kukaa apo apo ad gar yangu ioshwe zeni niondoke nayo

Mi nazan tujifunze kua na sehemu maalumu zakuoshea sio tu ukiona gar chafu bas unapeleka car wash yyte apo ndo mattzo huanzia
 
Lakin pia tujifunze maisha ya ukuda ata wazee wetu wanafanikiwa sabu ni wakuda mda mwingne maisha ya kidikteta, kikoroni na kikuda yanasaidia sana
osha gar yangu ila funguo sikupi ukitaka kusogeza mbele nakusogezea mwenyewe kufungua buti na bonet nyote nafunga mwenyewe
 
Pimbi yule aliniibia shuka la kimasai wkt na tip nilikua namuachia Na nikaja kukutana nae ziwa duluti amelivaa.
Kuna umuhimu sana kuosha sehemu za maana.. mie sahivi nipo makini na kuna baadhi ya vitu naviacha maksudi kuendelea kuwapima imani..
 
Kwa mtu Kama Mimi na Brand yangu nikienda kwa car wash, na respect my home boy waliyonayo kwangu Sijawahi Kuwa na wasiwasi, they treat me with absolute respect!

Mjini lazima Uwe na watu ambao wanatahisisha Maisha yako na sio uishi kwa wasiwasi kila, labda kwa nyie waajiriwe, kwa sisi watafuta Pesa tunaitaji akili na ubunifu watu kwenye mambo ya msingi ya kimaisha!

Naweza enda Car wash naongea na simu, nikashuka gari inanguruma Bado, nikachukua taxi Bado naongea na simu, hata maagizo Sijaacha, baadae naambie Bocy tukuletee au unakuja!?
Sawa Tajiri...
 
Back
Top Bottom