Ukiwa umeenda kuosha gari zingatia haya

Watakuja kufa vibaya..😂 kuna mmoja kazini alikula cookies kumbe ni zile za Bangi.. tulizani anakufa hiyo siku.

Maana kuna Mzungu alisahau lunchbox yake, yeye kwa uroho wake akabeba kwenda kula.
 
Ni kwa wahuni baadhi tu kama hao uliokutana nao, sehemu zingine ukifika unakabidhi gari na utakuta kila kitu chako kipo hata kama ulisahau 10k utaikuta
Ni kweli. Sehem inaweza isiwe na Uwizi ila hiyo tabia ya kutaka kuendesha/kusogeza gari mara kwa mara ikakutia hasara.
 
Zipo sehemu za hovyo japo sio zote kwangu walichomoa kile kiplastic cha sehemu ya kufungulia tank ya mafuta. Niliporudi wakasema hawajaona na ni car wash very smart ila nadhani walipata kijana wa kazi wa hovyo. Since that day sijaenda tena.
Mkuu, mara nyingi huwa wanapewa order na baadhi ya watu. So gari yako ukienda nayo na hicho kitu kipo ndio wanakupiga hapo. Na mara nyingi huwezi gundua haraka haraka.
 
haya wenye magari yenu hivi haiwezekani kuosha gari nyumbani?
Kuosha nyumbani inategemea na Mazingira pia na ratiba zako.

Mfano upo safarini na ni kipindi cha Masika je utaosha wapi zaidi ya kwa hawa jamaa? Kuosha nje ya nyumbani haiepukiki. Car wash ni biashara ya uhakika lazima gari itakuja kuoshwa tu. Ni kama Hospital na Wagonjwa au Mgahawa na Walaji.
 
Umeeleweka mkuu!! ila Muda mwingine uwe unaacha kiasi kidogo makusudi kupima uaminifu wao ..
Wengine wajanja hela hawagusi.. wao wanadeal na vitu ambavyo ww kivyovyote kujua itakuchukua muda sana.. mfn una flash drives nyingi ktk gari na sehem uliyoweka inaonyesha hujapagusa siku nyingi au hauna access napo mara kwa mara.. lazima apite nayo.
 
ooooh nimeelewa mkuu
 
😂😂😂 huu mtindo wa kula vitu ndani ya gari kumbe upo? Naskia hata pombe mfano Wine ukiwa umeifungua alaf ukanywa kdg ukaacha huwa wanakunywa kdg wanarudishia.

Watakufa vibaya hawa.
 
😁mkuu una andika aisee🤔
 
Unagari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…