Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
UKÍWA UNAJITAFUTA NDIO WAKATI SAHIHI WA KUTAFUTA MKE. NAMAANISHA MKE WA UJANA WAKO (MIAKA 21 - 30)
Anaandika, Robért Heriel
Mtibeli
Kijana wangu ukiwa kama Mtibeli na kama walivyo Watibeli waliotangulia na wataokuja.
Tafuta mke ukiwa únajitafuta. Tafuta mwenza wako wa maisha úkiwa katika maisha ya chini.
Huenda ukaniuliza Babaako yakuwa ni lini uanze kutafuta huyo Mke au mwenza wa maisha. Jibu ni kuwa tañgu siku ya kwañza úlipoona shahawa zako zikitoka basi elewa upo tayari kwa kutafuta mwenza wa maisha.
Hakikisha ndani ya miaka saba mpaka kumi tangu uzione shahawa zako uwe ushapata húyo mwenza au mke na hiyo haitazidi miaka 25 tangu úlipozaliwa.
Ikiwa balehe yako itachelewa na ukaona shahawa zako kati ya miaka 17 mpaka 20 hiyo haidhuru.
Ñi rahisi kupata mke sahihi ukiwa bado únajitafuta.
Usisubiri ujipate ndio uanze kutafuta Mke au mwenza. Huyo hatakuwa mwenza wala mkeo. Atakusumbua au útamsumbua.
Familia ni maisha. Maisha hujengwa tangu chini mkiwa pamoja na mwenza.
Kújitafuta kusikúfanye uchague mwenza asiye mzuri wa kimaúmbile na sifa nzuri kitabia ambaye atakuvutia kwa nyakati zote.
Fanya kama Mimi Babaako au Watibeli wote waliotañgulia. Ni lazima uoe Mke mzuri sana hata kama hauna chochote.
Watibeli ni Watu bora hata wasipokuwa na mali. Na hupendwa na wanawake wazuri wazuri wenye akili. Zingatia maneno wazuri wenye Akili.
Lakini hiyo isikufanye ubweteke ukashindwa kufanya kazi na kutafuta mali. Kwa sababu hakuna Mtibeli aliyewahi kufa Maskini Dunia ingalipo.
Mwanamke yeyote a
Utakayempenda na akakupenda wakati wa kújitafuta kwako huyo ndiye mke wako. Huyo ndiye mweñza wako. Usimúumize. Usimsononeshe. Huyo ni Mama wa watoto wako na atakuwa kwako Mama pale mama yako mzazi atakapoondoka.
Elewa, Mwanamke ambaye atakuwa na wewe wakati únajitafuta, na Hauna chochote kitu cha kumpa zaidi ya mapenzi yako jua huyo anakupenda.
Elewa, mwanamke hawezi kuishi na mtu asiyempenda ambaye hana kitu.
Na kama akiishi naye kwa matarajio elewa mwanamke hana úvumilivu kwa mtu asiyempenda.
Elewa, mwanamke anavumilia sehemu mbili tuu na katika muktadha wa aina mbili;
Mosi, sehemu anayopenda sana. Hapo atavumilia kwa muda mrefu muhimu apewe ñaye mapenzi(mapenzi ya kimwili, kihisia, kiakili na kiroho)
Pili, sehemu ambayo anapata pesa. Mwanamke kama amekosa wa kumpenda anaweza kuishi sehemu ambayo haipendi kwa kujitesa ilimradi anapata pesa.
Kwa Watibeli ni mwiko kuumaliza ujana kwa wanawake wengine ndipo utafute mwenza. Tafuta Mwanamke wakati wa ujana wako uutumie naye.
Ni mwiko kuoa Mwanamke ambaye újana wake ameutumia huko kisha wewe ndio umuoe.
Labda kama umefikisha umri wa uzee kama miaka kuanzia hamsini unaweza kufanya hivyo lakini ni aibu kijana wa chini ya miaka arobaini kuhusiana na mishangazi. Watibeli hawafanyi hivyo
Wala wanawake wa kitibeli ni mwiko kujidhalilisha kwa vijana wadogo.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam