UkΓ­wa unajitafuta ndio wakati sahihi wa kutafuta mke. Namaanisha mke wa ujana wako (miaka 21 - 30)

UkΓ­wa unajitafuta ndio wakati sahihi wa kutafuta mke. Namaanisha mke wa ujana wako (miaka 21 - 30)

Upo sahihi lakini kwa dunia ya sasa ni wachache sana mkuu, wengi ni pasua kichwa wanachoangalia ni wao wananufaika vipi? Awe nawewe maisha yake yaende, madeni yalipike, michezo/vikoba gharama zote ni wewe. Akiona ugumu anakukimbia.
Dunia haijabadilika mkuu hasa kitabia kwa wanadamu
Tangu zamani kupata mke bora ni suala gumu.

Ndio maana Suleiman alihitimisha mke mwema anatoka kwa Bwana.

Kusema wanawake au wanaume wa siku hizi hivi au vile hakuna tofauti na mtu asemaye maisha ya siku hizi magumu kuliko ya zamani jambo ambalo sio kweli
 
Sahihi kk
Kuna muda wanaume tunafanya mambo ambayo yanawainua wao na kutudidimiza sisi na mwisho wa siku hali inakuwa mbaya kwetu.

Kuna jamaa alikuwa anamlipia ke wake hela za vikoba na michezo, anatoboka haswa kila wikiendi akiamini yupo sehemu salama, ke kaja kupokea hela kafungua biashara kamuacha mwamba anasema sio type yake. Matukio ni mengi sana.
 
Dunia haijabadilika mkuu hasa kitabia kwa wanadamu
Tangu zamani kupata mke bora ni suala gumu.

Ndio maana Suleiman alihitimisha mke mwema anatoka kwa Bwana.

Kusema wanawake au wanaume wa siku hizi hivi au vile hakuna tofauti na mtu asemaye maisha ya siku hizi magumu kuliko ya zamani jambo ambalo sio kweli
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Halafu Bwana Mwenyewe ndio Mimi sasa
 
Dunia haijabadilika mkuu hasa kitabia kwa wanadamu
Tangu zamani kupata mke bora ni suala gumu.

Ndio maana Suleiman alihitimisha mke mwema anatoka kwa Bwana.

Kusema wanawake au wanaume wa siku hizi hivi au vile hakuna tofauti na mtu asemaye maisha ya siku hizi magumu kuliko ya zamani jambo ambalo sio kweli
Ukubali au ukatae mambo yamebadilika, zama zimebadilika na maisha yamebadilika. Mfano mdogo tu miaka 50 iliyopita hatukuwa na maendeleo ya teknolojia kwa kiasi hichi, huwezi ukasema hakuna mabadiliko ya kitabia.

Kumpata mwenza sio swala jepesi na halijawahi kuwa jepesi ila kwa zama za sasa ni ngumu zaidi ukilinganisha na zama za kina mzee Grahams za mwaka 47. Mzee shikamoo.
 
UKÍWA UNAJITAFUTA NDIO WAKATI SAHIHI WA KUTAFUTA MKE. NAMAANISHA MKE WA UJANA WAKO (MIAKA 21 - 30)

Anaandika, RobΓ©rt Heriel
Mtibeli

Kijana wangu ukiwa kama Mtibeli na kama walivyo Watibeli waliotangulia na wataokuja.
Tafuta mke ukiwa ΓΊnajitafuta. Tafuta mwenza wako wa maisha ΓΊkiwa katika maisha ya chini.

Huenda ukaniuliza Babaako yakuwa ni lini uanze kutafuta huyo Mke au mwenza wa maisha. Jibu ni kuwa taΓ±gu siku ya kwaΓ±za ΓΊlipoona shahawa zako zikitoka basi elewa upo tayari kwa kutafuta mwenza wa maisha.
Hakikisha ndani ya miaka saba mpaka kumi tangu uzione shahawa zako uwe ushapata hΓΊyo mwenza au mke na hiyo haitazidi miaka 25 tangu ΓΊlipozaliwa.
Ikiwa balehe yako itachelewa na ukaona shahawa zako kati ya miaka 17 mpaka 20 hiyo haidhuru.

Γ‘i rahisi kupata mke sahihi ukiwa bado ΓΊnajitafuta.

Usisubiri ujipate ndio uanze kutafuta Mke au mwenza. Huyo hatakuwa mwenza wala mkeo. Atakusumbua au ΓΊtamsumbua.

Familia ni maisha. Maisha hujengwa tangu chini mkiwa pamoja na mwenza.

KΓΊjitafuta kusikΓΊfanye uchague mwenza asiye mzuri wa kimaΓΊmbile na sifa nzuri kitabia ambaye atakuvutia kwa nyakati zote.
Fanya kama Mimi Babaako au Watibeli wote waliotaΓ±gulia. Ni lazima uoe Mke mzuri sana hata kama hauna chochote.

Watibeli ni Watu bora hata wasipokuwa na mali. Na hupendwa na wanawake wazuri wazuri wenye akili. Zingatia maneno wazuri wenye Akili.

Lakini hiyo isikufanye ubweteke ukashindwa kufanya kazi na kutafuta mali. Kwa sababu hakuna Mtibeli aliyewahi kufa Maskini Dunia ingalipo.

Mwanamke yeyote a
Utakayempenda na akakupenda wakati wa kΓΊjitafuta kwako huyo ndiye mke wako. Huyo ndiye mweΓ±za wako. UsimΓΊumize. Usimsononeshe. Huyo ni Mama wa watoto wako na atakuwa kwako Mama pale mama yako mzazi atakapoondoka.

Elewa, Mwanamke ambaye atakuwa na wewe wakati ΓΊnajitafuta, na Hauna chochote kitu cha kumpa zaidi ya mapenzi yako jua huyo anakupenda.

Elewa, mwanamke hawezi kuishi na mtu asiyempenda ambaye hana kitu.
Na kama akiishi naye kwa matarajio elewa mwanamke hana ΓΊvumilivu kwa mtu asiyempenda.

Elewa, mwanamke anavumilia sehemu mbili tuu na katika muktadha wa aina mbili;
Mosi, sehemu anayopenda sana. Hapo atavumilia kwa muda mrefu muhimu apewe Γ±aye mapenzi(mapenzi ya kimwili, kihisia, kiakili na kiroho)

Pili, sehemu ambayo anapata pesa. Mwanamke kama amekosa wa kumpenda anaweza kuishi sehemu ambayo haipendi kwa kujitesa ilimradi anapata pesa.

Kwa Watibeli ni mwiko kuumaliza ujana kwa wanawake wengine ndipo utafute mwenza. Tafuta Mwanamke wakati wa ujana wako uutumie naye.
Ni mwiko kuoa Mwanamke ambaye ΓΊjana wake ameutumia huko kisha wewe ndio umuoe.

Labda kama umefikisha umri wa uzee kama miaka kuanzia hamsini unaweza kufanya hivyo lakini ni aibu kijana wa chini ya miaka arobaini kuhusiana na mishangazi. Watibeli hawafanyi hivyo

Wala wanawake wa kitibeli ni mwiko kujidhalilisha kwa vijana wadogo.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Robert Heriel Mtibeli Mimi nipo below 40 Alafu kuna Lishangazi lipo between 40-45 limenielewa sana nafanyaje? Japo lina watoto watatu
 
Back
Top Bottom