Ukรญwa unajitafuta ndio wakati sahihi wa kutafuta mke. Namaanisha mke wa ujana wako (miaka 21 - 30)

Ukรญwa unajitafuta ndio wakati sahihi wa kutafuta mke. Namaanisha mke wa ujana wako (miaka 21 - 30)

Una_sajest nini wewe kama babu yetu wa jf
Nendeni vyuoni kusoma ila suala la Mke mtuachie Wazee wenu tuwatafutie wake bora.

Huku Vijijini wapo wengi wazuri tunawafahamu kuanzia historia ya Wazazi wao pamoja na tabia njema.

Huwezi kutafuta Mke huko vyuoni kwenu, mabinti ambao wanavuta Shisha/walevi/ wasio na heshima na ambao hadi wanafika miaka 25 wanajua size zote na nanii kuanzia mandongo hadi kibamia ๐Ÿ™Œ
 
Wife nilimpata nikiwa Form five baada ya kumgonga mimba, wazazi wake wakaniambia nikubali mimba au wayapeleke mbele. Nikakubali nipo naye mpaka Leo dogo anaingia form six next month na ana wadogozake wawili. Toka nipo naye hajawai kuniletea chenga Wala pumba. sijui kama nilichoandika kinaendana na mada.
Wake wa ndoa ya mkeka (wa kuoa kwa lazima) huwa wanadumu na hawana chenga kabisa.
 
Nendeni vyuoni kusoma ila suala la Mke mtuachie Wazee wenu tuwatafutie wake bora.

Huku Vijijini wapo wengi wazuri tunawafahamu kuanzia historia ya Wazazi wao pamoja na tabia njema.

Huwezi kutafuta Mke huko vyuoni kwenu, mabinti ambao wanavuta Shisha/walevi/ wasio na heshima na ambao hadi wanafika miaka 25 wanajua size zote na nanii kuanzia mandongo hadi kibamia ๐Ÿ™Œ
Busara za babu
The clever one.
 
Mwandishi yuko vizuri lakini hawa wa kuoa ndo changamoto,mimi nilifanya hivyo lakini mateso niliyoyapitia wakati mwingine ni siri nitakayokufa nayo.na hatimaye nimempata ninayeona ananifaa
 
Back
Top Bottom