Tatizo wakati wakujitafuta ndio unaempenda sana na kumuona anafaa kua mkeo ndio huwa anakuachia maumivu makali. Hasa kama mlipendana mkiwa chuo baada ya kumaliza chuo usipopata kazi yeyote yakukuingizia chochote ndipo utaona rangi zake halisi.
Wanawake wengi ni wabinafsi, wakiona kwako mbele Giza watavumilia mwishowe wanakimbia. Na baada ya kukimbia haipiti miaka 2 mpaka 3 utaanza kupata nafuu ya maisha, maana kipaumbele chako itakua nimaisha Yako mapenzi utasema basi.
Jambo lamsingi ukipata uhakika wakula vizuri, kuvaa vizuri na sehemu nzuri yakulala ndio utafute mwenza hasa Kwa wale wasomi.
Tofauti na hivyo tafuta binti ambae kaishia lasaba atakuvumilia Kwa Kila Hali, tofauti nahawa nguchiro waliomaliza chuo nawao wanandoto zao za kuishi maisha mazuri nakupata bwana mwenye nyumba, gari na kazi nzuri au biashara nzuri.
Ningumu Sana kupata nguchiro aliemaliza chuo kikuu au diploma akawa mvimilivu wa shida zako na zake.