Ukíwa unajitafuta ndio wakati sahihi wa kutafuta mke. Namaanisha mke wa ujana wako (miaka 21 - 30)

Ukíwa unajitafuta ndio wakati sahihi wa kutafuta mke. Namaanisha mke wa ujana wako (miaka 21 - 30)

Ningeishi zama zenu ningeoa mapema sana.

Mtibeli anasema hakuna kilichobadilika kwa hawa wanawake wa sasa. Hawa kwa walio wengi wanapenda sana fedha na mali. Ni lazima uwe umejipata ili uweze kupata angalau atakae kuvumilia vinginevyo ni maumivu.
Ni kweli, ndiyo maana Wazee wengi wa zamani tulioa tukiwa angali Vijana wadogo

Ndiyo maana tuliweza kuwa na familia ya watoto 10 hadi 8
 
Hii ilikuwa option nzuri lakini kwa siku hizi vijana wengi hawana hao wazee wa kuwachagulia Mke achilia mbali kupewa ushauri.
Ni kweli Mkuu, japo hao Wazee bado wapo Vijijini.

Changamoto kubwa ni hao Vijana wetu wenyewe kuvutiwa na Wanawake wa mitandaoni ambao ukiangalia hata kupika kwenyewe hata ugali wa kula Baba Mkwe tu hajui
 
Tatizo vijana wengi wameishi Katika mazingira ambayo hayana uongozi imara wa Baba. Hapo ndipo kiini cha matatizo.

Wale walioishi bila uwepo wa baba lakini wakajaliwa akili ni wachache
 
Tatizo vijana wengi wameishi Katika mazingira ambayo hayana uongozi imara wa Baba. Hapo ndipo kiini cha matatizo.

Wale walioishi bila uwepo wa baba lakini wakajaliwa akili ni wachache
Sure

Haya mambo ya 50/50 yameanza kuwafanya Wanawake waone kawaida kuzaa na kulea watoto peke yao, hawaoni shida kuomba talaka Kila Siku wakiamini kupitia vipato vyao wanaweza kuwalea na kuwatunza watoto peke yao.

Mwisho wa Siku unapata watoto wa kiume wanaoogopa majukumu na wanaotamani kuolewa na kutunzwa kabisa ndani 😜🙌
 
50*50
Ni nzuri lakini sio katika Familia
Kwenye Familia hakuna hiyo kitu.

Ila kwa Watu wasio waungwana hata mimi Kama Baba nitawafunza mabinti watekeleza 50*50 kwa wanaume wa wasiopenda Haki.

Baadhi ya wanaume hutumia mfumo dume kudhulumu haki za Wake zao na watoto. Jambo ambalo sisi kama Watibeli hatulikubali na binti zetu tumewafunza kudili na Watu wa aina hiyo kwa namna ambayo itakuwa fundisho kwa wengine.

Mfumo dume ni mzuri na ndio unaotumika hata kwetu Watibeli lakini mfumo dume unaozingatia haki za wanafamilia.
 
Back
Top Bottom