fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Mimi huongea kwa kumsifia au kumtukana wife na nisipomtukana ataniulizaMimi nikiwa namshughulikia wife wangu wakati huo huo ninaweza nikawa ninaimba wimbo wa hip-hop au reggae.
Kwa mfano, nikiwa namgonga wife kwa slow motion basi lazima niimbe ule wimbo wa Peter Tosh 'legalize it'.
Siku nikiwa nangonoka na wife kimya kimya basi yeye huniuliza naumwa nini maana si kawaida yangu.
Mbaraka Mwinshehe alikuwa anatekenya guitar huku anaimba, secretarybird ninazagamua huku naimba. Je, nani zaidi?
Je, wewe unaweza kufanya kitu gani kingine ukiwa unangonoka?