Ukiwa unaumwa jaribu kuwa unatunza record zako , hii itakusaidia sana.

Ukiwa unaumwa jaribu kuwa unatunza record zako , hii itakusaidia sana.

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Ukiwa unaumwa jaribu kuwa unatunza kumbukumbu zako .

Na unaangalia aina gani ya Dawa huwa unatumia , mazoezi n.k .

Binafsi huwa naumwa Sana kichwa .

Dawa ambayo huwa natumia nakunywa Tangawizi Ahsubui na join pamoja mazoezi , damu inapokuwa na mzunguko mzuri maumivu ya kichwa hupungua au kukoma .
 
Back
Top Bottom