Ukiwa unaumwa jaribu kuwa unatunza kumbukumbu zako .
Na unaangalia aina gani ya Dawa huwa unatumia , mazoezi n.k .
Binafsi huwa naumwa Sana kichwa .
Dawa ambayo huwa natumia nakunywa Tangawizi Ahsubui na join pamoja mazoezi , damu inapokuwa na mzunguko mzuri maumivu ya kichwa hupungua au kukoma .