Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Nami kwa uzoefu wangu, naona gari linatumia mafuta yale yale, yawe full tank au robo...Hizo point zako 1-4 ndio nilizoziita "constant of proportionality" kwenye maelezo yangu. Huwezi kuzifanya zikawa "variables" wakati unataka kufanya ufafiti gari inakula mafuta zaidi ikiwa full tank au half tank. Kwa hiyo tuko palepale.
Hapana...sijaingia chaka..Dah...enzi zile za skonga...hii tulikuwa tunaita kuingia Chaka.....hoja ya Uzi ni nyingine na wewe unahitimisha kivingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
Namimi niweke mchango wangu kidogo hapa kwa maelezo rahisi kueleweka hasa kwa matu ambaye hajapita kwenye saiyansiHabarini wapendwa, Nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye mada, je gari ukiwa unaweka full tank na sio ya mafuta ya buku kumi kumi inapunguza ulaji wa mafuta?
Yaani kuna mtu kanishauri gari yangu niwe naweka full tank siku ikikaribia kuisha najaza tena eti nisiwe naweka ya buku kumikumi inakuwa inakunywa sana, je ni kweli?
Kwa wenye uelewa nielewesheni plz.
Kweli kabisa. Na si unajua dunia ni tambalare lakini watu wanasema ni duara kama tufe? Waongo sana. Ingekuwa duara kama tufe tungewezaje kutembea juu ya dunia, si tungekuwa tunaanguka!We jamaa muongo kweli wewe duuh,uhalisia gari inapokuwa na full tank ulaji unakuwa mzuri unapata km za kutosha tofauti na mafuta ya kidebe.
Hebu niambie, hizo computer zinazoamua injectors kufungua zaidi au kidogo, kitu gani kinazifanya computer ziwaambie kina injector fungua zaidi au kidogo?Ikunbukwe magari ya siku hizi yana computer... computer ndiyo inaamua injectors zifunguke namna gani bila kujali tank lina lita ngapi.
Kitu kinachofanya kompyuta iungue injectors zaidi niHebu niambie, hizo computer zinazoamua injectors kufungua zaidi au kidogo, kitu gani kinazifanya computer ziwaambie kina injector fungua zaidi au kidogo?
Namimi niweke mchango wangu kidogo hapa kwa maelezo rahisi kueleweka hasa kwa matu ambaye hajapita kwenye saiyansi
1. Mafuta kwenye chombo cha moto huhesabiwa kama mzigo hivyo ukiweka full tank maana yake umeweka mziko mkubwa
Hivyo wanapendekeza kama upo mjini uweke wastani wa nusu tank hivi li upate maleage nzuri ila kama upo nje ya mji ambapo vituo vya mafuta viko mbali weka tu full tank kwa kuwa tofauti ni ndogo sana
2. Ukitaka kupata maileage nzuri ( kutumia mafuta kidogo)
a. Usibebe mizigo au kuendesha huku umebeba vitu vizito ndani ya gari
b. Jaza tairi ziwe na upepo stahiki
c. Fanyia gari service kwa wakati
d. Usitumie Aircondition kama sio muhimu sana. ; unaweza kuvaa nguo nyepesi badala yake
e. Wakati unaendesha tumia gia sahihi; kwenda polepole sana mafuta huenda mengi ( mwendo mzuri ni km 60 hivi na 90)
f. mwisho epuka kukimbiza na kutumia tumia break mara kwa mara kwani huongeza ulaji wa mafuta badala yale, achia mafuta gari ipunguze mwendo yenyewe
Kwa kufanya hayo unapatapa matokeo mazuri na ikikupendeza unipe mrejesho
🤣🤣🤣 so Dodoma mpaka chalinze zimeshuka bar 2? Tz sihamiKwa experience yangu ya kujaza mafuta full tank nimegundua kwamba ukijaza full tank mafuta hayaendi mengi. Kwa mfano mi nikijaza gari yangu full na nikashindilia kabisa nikiwa natoka dodoma kuja dar natembeaga hadi Morogoro ule mshale wa full ukiwa haujashuka. Hii picha hapa nilikuwa nimetoka Dodoma na hapo nilikuwa chalinze ndo mshale ukawa hivyoView attachment 1811016