Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ulimwenguni ni mahali pa matatizo lakini yatufaa kujipa moyo na kuamini ktk Mungu Mwenyezi.
Eti hapa kwetu Tanzania mtu anayehubiri ukombozi wa fikra ktk nyanja za Umaskini, ukosefu wa huduma bora, ufisadi, wizi ,uonezi, njaa, afya, haki na amani anaitwa Mchochezi na mahala pake ni jela.
Huku upande wa pili watukanaji, wasanii wa nyimbo za Ngono, matusi, ulawiti na uchawa wanapendwa na nyimbo zao kupewa Promo kubwa ndani na nje.
Haya ni maajabu. Ni kufuru kwa Mungu.
Wito Wangu: Wapenda haki waendelee kuhubiri haki kwa sana, wapenda wananchi waendelee kuwapenda na kuwapigania kwa sana.
Mwisho Mungu Mwenyewe ataamua.