Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hahaha Mungu tunampa nafasi yake. Hatupaswi kuingilia maamuziSentensi ya Mwisho ndio ilipaswa kua kichwa cha bandiko lako.
Mahubiri na unabii wako si vibaya ni sawa abisa kulingana na Imani yako.
Lakini kumchagulia Mungu upande halafu tena unakuja kusema.
Yeye Mwenyewe ataamua, ni ishara kamili ya Imani haba.
AmeenMungu wa mbinguni
Kanisa Moja Takatifu la Mitume 😀
Kwa leo inatosha panapo majaliwa tutaendeleaNilitamani uongeze mistari mingine, wewe ni mwandishi mzuri sana.
HeheheeCCM Chama cha Mashetani
Nimeipenda sana hii hoja yako mkuu!Ulimwenguni ni mahali pa matatizo lakini yatufaa kujipa moyo na kuamini ktk Mungu Mwenyezi.
Eti hapa kwetu Tanzania mtu anayehubiri ukombozi wa fikra ktk nyanja za Umaskini, ukosefu wa huduma bora, ufisadi, wizi ,uonezi, njaa, afya, haki na amani anaitwa Mchochezi na mahala pake ni jela.
Huku upande wa pili watukanaji, wasanii wa nyimbo za Ngono, matusi, ulawiti na uchawa wanapendwa na nyimbo zao kupewa Promo kubwa ndani na nje.
Haya ni maajabu. Ni Kufuru kwa Mungu.
Wito Wangu: Wapenda haki waendelee kuhubiri haki kwa sana, wapenda wananchi waendelee kuwapenda na kuwapigania kwa sana.
Mwisho Mungu Mwenyewe ataamua.
Hako kakikundi kalishakufa kifo cha mende. Maana kiliongozwa na shetani ambaye bado anamatumaini eti kikundi kitafufuka. Zoeeni tu kuwa ni failure.Ulimwenguni ni mahali pa matatizo lakini yatufaa kujipa moyo na kuamini ktk Mungu Mwenyezi.
Eti hapa kwetu Tanzania mtu anayehubiri ukombozi wa fikra ktk nyanja za Umaskini, ukosefu wa huduma bora, ufisadi, wizi ,uonezi, njaa, afya, haki na amani anaitwa Mchochezi na mahala pake ni jela.
Huku upande wa pili watukanaji, wasanii wa nyimbo za Ngono, matusi, ulawiti na uchawa wanapendwa na nyimbo zao kupewa Promo kubwa ndani na nje.
Haya ni maajabu. Ni Kufuru kwa Mungu.
Wito Wangu: Wapenda haki waendelee kuhubiri haki kwa sana, wapenda wananchi waendelee kuwapenda na kuwapigania kwa sana.
Mwisho Mungu Mwenyewe ataamua.
Mungu ibariki CHADEMA[emoji173][emoji173][emoji173]Ulimwenguni ni mahali pa matatizo lakini yatufaa kujipa moyo na kuamini ktk Mungu Mwenyezi.
Eti hapa kwetu Tanzania mtu anayehubiri ukombozi wa fikra ktk nyanja za Umaskini, ukosefu wa huduma bora, ufisadi, wizi ,uonezi, njaa, afya, haki na amani anaitwa Mchochezi na mahala pake ni jela.
Huku upande wa pili watukanaji, wasanii wa nyimbo za Ngono, matusi, ulawiti na uchawa wanapendwa na nyimbo zao kupewa Promo kubwa ndani na nje.
Haya ni maajabu. Ni Kufuru kwa Mungu.
Wito Wangu: Wapenda haki waendelee kuhubiri haki kwa sana, wapenda wananchi waendelee kuwapenda na kuwapigania kwa sana.
Mwisho Mungu Mwenyewe ataamua.
Nchi yetu imelaaniwa haswaUlimwenguni ni mahali pa matatizo lakini yatufaa kujipa moyo na kuamini ktk Mungu Mwenyezi.
Eti hapa kwetu Tanzania mtu anayehubiri ukombozi wa fikra ktk nyanja za Umaskini, ukosefu wa huduma bora, ufisadi, wizi ,uonezi, njaa, afya, haki na amani anaitwa Mchochezi na mahala pake ni jela.
Huku upande wa pili watukanaji, wasanii wa nyimbo za Ngono, matusi, ulawiti na uchawa wanapendwa na nyimbo zao kupewa Promo kubwa ndani na nje.
Haya ni maajabu. Ni kufuru kwa Mungu.
Wito Wangu: Wapenda haki waendelee kuhubiri haki kwa sana, wapenda wananchi waendelee kuwapenda na kuwapigania kwa sana.
Mwisho Mungu Mwenyewe ataamua.
Tuombe Mungu atuepushe na laanNchi yetu imelaaniwa haswa
Kakikundi ganiHako kakikundi kalishakufa kifo cha mende. Maana kiliongozwa na shetani ambaye bado anamatumaini eti kikundi kitafufuka. Zoeeni tu kuwa ni failure.
Wewe wasemaKwahiyo CHADEMA ipo upande wa Mungu?!!!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tayari tuna laanaTuombe Mungu atuepushe na laan
Ile nyimbo ya Kwa Mpalange inatia kinyaa sanaSahihi kbs, imagine nyimbo za kukosoa na kushauri serikali zinapigwa ban.. Njoo kweny bongo Flava sasa utasikia panua nisafishe mtaro mara katoto kachafu kama bata namm nakalamba, mara panua nipachike rungu, mara ukipata bwana wa kizungu mpe kwa mpalange! Nyimbo kama hiz zinapeta mitaani na redion kila kukicha, kwel shetani yupo kazin!