Nitaishi nayo endapo utaniambia wewe imekusaidiaje ndugu motiveshino spika.IShi nayo hio nimekumegea kidogo
🤔
unatusimanga red, ngoja nikukusanyie mafaili🤔
😂 sjawasimanga bhana
Hapo naona sisi wapare tumekosa usiri tu.ukiwatazama watu waliofanikiwa zaidi Dunia wote wana usiri sana kwenye harakati zao na ni bahili sana
Technic ya usiri na ubahili ndio utajiri,
I'm out.
Mbinu ya utajiri sio ubahili mzee acha kupotosha. Aliekuambia ukiwa bahili utakuwa tajiri kakupotoshaukiwatazama watu waliofanikiwa zaidi Dunia wote wana usiri sana kwenye harakati zao na ni bahili sana
Technic ya usiri na ubahili ndio utajiri,
I'm out.
Jibu hoja acha kukimbia, ni sayansi gan uliotumia kutambua na kubaini kuwq matajri wametokea kwenye ubahili?Punguza mihemko
alf nimekumbuka leo sina any be my guardian angle🤗 mdogo wangu wa faida 😅mbona ni thread za kawaida tu za kushare maarifa na kukumbushana baadhi ya mambo..