Nyie nasikia ni wachawi na wachoyo hakuna mfano.Hapo naona sisi wapare tumekosa usiri tu.
Nyie nasikia ni wachawi na wachoyo hakuna mfano.Hapo naona sisi wapare tumekosa usiri tu.
🚮usipanic chukua hio technic nimekupa ziapply kwanzia sasa after 5 or 10yrs utajishukuru tho vilevile hutaki acha
tatizo la kisaikolojia! Ana shida mahala.nje ya mada,, kwanini sikuhizi naona post zako nyingi nyingi kuliko mwanzo? tena unapenda kutusimanga kweli
😄😄😄Mkuu vipi wewe baada ya kujua iyo siri unamiliki utajiri kiasi gani?
Motiveshinal speaker wa bei ya jioni kabisa.!
😄Kama mpaka wewe umejua maanake siyo siri tena!
😅😆😀👄😁😃👄👄😄😄👏👏🥂Mkuu vipi wewe baada ya kujua iyo siri unamiliki utajiri kiasi gani?
Motiveshinal speaker wa bei ya jioni kabisa.!
Sasa Siri ni Nini?Mbinu ya utajiri sio ubahili mzee acha kupotosha. Aliekuambia ukiwa bahili utakuwa tajiri kakupotosha
Hapo naona sisi wapare tumekosa usiri tu.
Hana lolote zaidi ya kushinda JFNitaishi nayo endapo utaniambia wewe imekusaidiaje ndugu motiveshino spika.