Ukiwachunguza vizuri, viongozi hawa, wameishapigwa na stroke sema wanaficha angalia uso na mkono

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039





Hawa wazee wanaong'ang'ania madarakani wanaumwa hata kama hawataki kusema. Outtarra anaonekana kupigwa stoke ya uso huku Museveni akionyesha mkono wake wa kulia ulivyokwisha kufanya kazi japo anaficha kama alivyo Dk Wilbroad Slaa japo si rais. Wengine kama Stephen Wasira wesha expire lakini bado wanawekwa ofisini ili waendelee kuuguzwa bure.​

 
Waachie madaraka wenye afya watawala badala ya kuwatwisha mzigo walipa kodi ugogolo wa afya zao mwanangu hujui!!!!
Wenye afya ni akina nani hao?
Labda aje kutawala malaika.

Hata hivyo, hao unaowaona wana afya aina yao ya uongozi na mbaya mno(mifano iko wazi).
 
Uzima una yeye Yesu, milele na milele.
Amina.
Huyo yesu mbona kashindwa kujinusuru asipigwe mijeredi pale msalabani?kama kweli yeye ni mungu wa uzima? haya tuambie we mfia dini yesu pale msalabani alikuwa analalama mungu wangu mbona umeniacha!!

Aya alikuwa anamuita mungu gani ilhali yeye mnamuita ni mungu wenu? Dini ni ukichaa kweli
 
Hili swali japo rahisi ni mali. Sijui kama. kuna mtu mwenye kuamini katika dini anaweza kulijibu zaidi ya kubabaisha na kujiridhisha kijinga jinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…