Ukiwachunguza vizuri, viongozi hawa, wameishapigwa na stroke sema wanaficha angalia uso na mkono

Ukiwachunguza vizuri, viongozi hawa, wameishapigwa na stroke sema wanaficha angalia uso na mkono

Dr. Slaa aachie madaraka yapi....!?

Mwambieni Maza amuachie Mzee wa watu arudi nyumbani asije akawafia huko. Wanamtesa bure kumlaza Segerea.
Yule sidhani kama analala segerea. Itakuwa kuna nyumba yenye kila kitu kafungiwa huko.
 
Yule sidhani kama analala segerea. Itakuwa kuna nyumba yenye kila kitu kafungiwa huko.

Mkuu, hivi hawa maCCM unawaanini. Imagine akipelekwa huko sehemu ya ukaguzi ni lazima avulidhwe nguo zote. Wanajaribu kumdhalilisha Mzee wa watu bila sababu. Maza hata kama hakubali kuhusika, hii dhambi inamuhusu.
 
Dah, aibu mno. Ila hawawezi risk yule mzee kufia mikononi mwao. Ni risk kubwa sana. Lazima wanamonitor afya yake kwa ukaribu mno.
 
Kwani Bidden alikuwa na miaka mingapi, na bado alikuwa anataka agombee Urais
 
View attachment 3232760
View attachment 3232761
View attachment 3232765

Hawa wazee wanaong'ang'ania madarakani wanaumwa hata kama hawataki kusema. Outtarra anaonekana kupigwa stoke ya uso huku Museveni akionyesha mkono wake wa kulia ulivyokwisha kufanya kazi japo anaficha kama alivyo Dk Wilbroad Slaa japo si rais. Wengine kama Stephen Wasira wesha expire lakini bado wanawekwa ofisini ili waendelee kuuguzwa bure.​

View attachment 3232775
kufuru ni kitu kibaya sana aise dah, namuhurumia mwanadamu anaejipiga kifua kwamba yeye ni mzima wa afya na binadamu wenzake wengine wana afya mbovu,

Tunaishi kwa neema, baraka na upendo wa Mungu tu na sio kiujanja ujanja ndugu zangu 🐒 🐒
 
Back
Top Bottom