Ukiwachunguza vizuri, viongozi hawa, wameishapigwa na stroke sema wanaficha angalia uso na mkono

we ndio una stroke ya akili
 
Kuhusu Marehemu wasira ....wakutanikapo tai ndipo mzoga ungalipo
 
Kwa wengine uliowataja ni sawa, lakini kwa Slaa, sioni dalili ya stroke kwenye picha hiyo.
 
Alikunywa dawa zenye kuleta usingizi
 
Dr. Slaa yeye alianguka mkono ukaumia akakataa kuwekewa POP ndiyo ukalemaa hivyo
 
Tuwaombee tu Kwa Mungu
 
Kwani kakulazamisha uamini anachoamini?
 
Huu ugonjwa kwasasa upo kasi sana. Kuna jamaa hapa mtaani amepigwana hii kitu kama utani vile. Yani alikuwa ameka dukan kwake watu wanajua analeta utani kumbe stroke tayar ishampiga, ndan ya dkk tu mdomo umenda upande na kila kitu kikawa kimeharibika.
 
Uzima una yeye Yesu, milele na milele.
Amina.
Na huo uzima kutoka kwa Yesu hauji hivi hivi tu huku ukiwatendea mabaya binadamu wenzako πŸ™

Njama za kuwadhuru watu. Njama za kuwadhalilisha watu, njama za kujipendelea na kukwapua mipesa kupitia Ofisi za Wananchi , njama za kuingia mikataba ya mali za Nchi kwa kujinufaisha wewe na kakikundi kako etc etc,

Kisha useme Damu ya Yesu itakuokoa πŸ˜³πŸ˜±πŸ™„ !

Karma is just around the corner !
πŸ™πŸ™πŸ™
 
Hao wote hapo umewachomekea by the way tu,ila inaonekana kuna mmoja hapo ndio muhusika wako halisi.....
 
Shika akili yako, uislamu sio ukichaa, labda hizo dini nyengine
 
Shika akili yako, uislamu sio ukichaa, labda hizo dini nyengine
 
Matatizo ya moyo hayo, yanasababishwa na ulaji holela holela na kutokufanya mazoezi !
β€œ Hatuishi ili tule bali tunakula ili tuweze kuishi β€œ
Kwahiyo inabidi tusiuendekeze moyo kwa kupenda kula kula vyakula kiholela holela !
Holela holela itatukosti 😳 anasemaga Amani Mbillo wa Radio One πŸ˜…πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…