Ukiwasaidi hawa watu, ipo siku matunda utayaona

Ukiwasaidi hawa watu, ipo siku matunda utayaona

Nakubaliana na wewe, wala sio lazima wafanikiwe na kurudi kukushukuru bali ukisaidia unakuwa umepanda mbegu na lazima utavuna mafanikio. Hususan hilo kundi la kwanza ni chanzo kikubwa cha baraka katika haya maisha.
 
Back
Top Bottom