Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 13, 2022 #21 Ngoja tuone...
Kikapuu JF-Expert Member Joined Sep 14, 2021 Posts 1,122 Reaction score 1,629 Feb 13, 2022 #22 Equation x said: Wabongo wana nini mkuu? Click to expand... watakupanda kichwani mda wowote kama kinyozi vile
Equation x said: Wabongo wana nini mkuu? Click to expand... watakupanda kichwani mda wowote kama kinyozi vile
Thad JF-Expert Member Joined Mar 14, 2017 Posts 13,380 Reaction score 31,566 Feb 13, 2022 #23 Nakubaliana na wewe, wala sio lazima wafanikiwe na kurudi kukushukuru bali ukisaidia unakuwa umepanda mbegu na lazima utavuna mafanikio. Hususan hilo kundi la kwanza ni chanzo kikubwa cha baraka katika haya maisha.
Nakubaliana na wewe, wala sio lazima wafanikiwe na kurudi kukushukuru bali ukisaidia unakuwa umepanda mbegu na lazima utavuna mafanikio. Hususan hilo kundi la kwanza ni chanzo kikubwa cha baraka katika haya maisha.
FabNXTzqEtcgazfbjjfo JF-Expert Member Joined Jan 17, 2019 Posts 1,486 Reaction score 1,874 Feb 13, 2022 #24 Undisputed Hustler said: Acha uongo, roho mbaya na ufala we dada. Click to expand... Akili yako Bado Si Timamu
Undisputed Hustler said: Acha uongo, roho mbaya na ufala we dada. Click to expand... Akili yako Bado Si Timamu
FabNXTzqEtcgazfbjjfo JF-Expert Member Joined Jan 17, 2019 Posts 1,486 Reaction score 1,874 Feb 13, 2022 #25 Equation x said: Namba 2 mkuu, sijaipata vizuri Click to expand... Kuna Watu barabarani si Watu kama Wewe Ulivyo. Ukitoa Pesa zako kuwapa Ndio inakuwa Mwanzo wa Wewe kupoteza Pesa zako
Equation x said: Namba 2 mkuu, sijaipata vizuri Click to expand... Kuna Watu barabarani si Watu kama Wewe Ulivyo. Ukitoa Pesa zako kuwapa Ndio inakuwa Mwanzo wa Wewe kupoteza Pesa zako
K Kibuzimzinga JF-Expert Member Joined Jul 9, 2020 Posts 209 Reaction score 247 Feb 13, 2022 #26 antanarivo said: Wengine Wana maagano ukifanya hivo utabeba mikosi yao Click to expand... Mkuu hiyo ni imani yako!!
antanarivo said: Wengine Wana maagano ukifanya hivo utabeba mikosi yao Click to expand... Mkuu hiyo ni imani yako!!
U Undisputed Hustler JF-Expert Member Joined Oct 8, 2020 Posts 462 Reaction score 1,235 Apr 21, 2022 #27 FabNXTzqEtcgazfbjjfo said: Akili yako Bado Si Timamu Click to expand... Unatombwer