Bekabundime
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 2,017
- 1,733
NA YULE ALIE AHIDI MIL 50 KILA KIJIJI NA COMPUTER KILA SHULE YA PRIMARY TOKEA 2015 JE HUYU SI MUONGOKatika Biblia takatifu nabii wa uongo anatafsiriwa kama mtu ajifanyaye Nabii ama kwa kujidanganya au kudanganya.
Nabii wa uongo ni yule aelezaye maono yenye hila na ulaghai ambayo kamwe hayawezi kukamilishwa...
Muongo mkubwa wewe kinaraka wa halima mdee. Gwajima kasema ataanzisha mahusianeo ya urafiki kati ya majimbo mawili.Katika Biblia takatifu nabii wa uongo anatafsiriwa kama mtu ajifanyaye Nabii ama kwa kujidanganya au kudanganya.
Nabii wa uongo ni yule aelezaye maono yenye hila na ulaghai ambayo kamwe hayawezi kukamilishwa...
Unaweza uka 'prove' hizo ahadi za uongo?Katika Biblia takatifu nabii wa uongo anatafsiriwa kama mtu ajifanyaye Nabii ama kwa kujidanganya au kudanganya.
Nabii wa uongo ni yule aelezaye maono yenye hila na ulaghai ambayo kamwe hayawezi kukamilishwa...
Hahahaaaa!! Kawe inahamia Marekani!Unaweza uka 'prove' hizo ahadi za uongo?
Leo j3 naona upo 'on duty' unaanza kutema pumba zako!
Unahitaji kuchapwa bakora ili akili zikurudi na uelewe kupima mamboAhadi inakuwa ya uongo pale tu isipotimizwa.
Katika Biblia takatifu nabii wa uongo anatafsiriwa kama mtu ajifanyaye Nabii ama kwa kujidanganya au kudanganya.
Nabii wa uongo ni yule aelezaye maono yenye hila na ulaghai ambayo kamwe hayawezi kukamilishwa.
Tundu Lissu anazungumzia kutoa Bima ya afya kwa watu wote nchini raia na wasio raia, hii ni ahadi yenye hila.
Askofu Gwajima anaahidi kuwapeleka Marekani wananchi wote wa jimbo la Kawe huu ni unabii wa uongo.
Hivi Watanzania, hatuwezi kufanya siasa zilizosheheni ukweli?
Maendeleo tuliyoyapata kwa miaka 5 tunayaona kwa macho yetu tusikubali kudanganywa na vibaraka wa mabeberu.
Maendeleo hayana vyama!
Tulia ukisubiri kupelekwa marekani.Unahitaji kuchapwa bakora ili akili zikurudi na uelewe kupima mambo
Kwan hujui kama kila shule ilipewa tablet kwaajili ya matumizi ya tehamaNA YULE ALIE AHIDI MIL 50 KILA KIJIJI NA COMPUTER KILA SHULE YA PRIMARY TOKEA 2015 JE HUYU SI MUONGO
NITAMJIBIA TUNDU LISSU , HUYO MWINGINE NI NDUGU YAKO WA DAMU (CCM).Katika Biblia takatifu nabii wa uongo anatafsiriwa kama mtu ajifanyaye Nabii ama kwa kujidanganya au kudanganya.
Nabii wa uongo ni yule aelezaye maono yenye hila na ulaghai ambayo kamwe hayawezi kukamilishwa.
Tundu Lissu anazungumzia kutoa Bima ya afya kwa watu wote nchini raia na wasio raia, hii ni ahadi yenye hila.
Askofu Gwajima anaahidi kuwapeleka Marekani wananchi wote wa jimbo la Kawe huu ni unabii wa uongo.
Hivi Watanzania, hatuwezi kufanya siasa zilizosheheni ukweli?
Maendeleo tuliyoyapata kwa miaka 5 tunayaona kwa macho yetu tusikubali kudanganywa na vibaraka wa mabeberu.
Maendeleo hayana vyama!
Ukiwa na akili timamu huwezi linganisha Gwajima na Tundu Lisu unless unatukanaKatika Biblia takatifu nabii wa uongo anatafsiriwa kama mtu ajifanyaye Nabii ama kwa kujidanganya au kudanganya.