Uchaguzi 2020 Ukiwasikiliza kwa makini sana Tundu Lissu na Askofu Gwajima utaona dalili zote za mwisho wa Ulimwengu huu

Katika Biblia takatifu nabii wa uongo anatafsiriwa kama mtu ajifanyaye Nabii ama kwa kujidanganya au kudanganya.

Nabii wa uongo ni yule aelezaye maono yenye hila na ulaghai ambayo kamwe hayawezi kukamilishwa...
NA YULE ALIE AHIDI MIL 50 KILA KIJIJI NA COMPUTER KILA SHULE YA PRIMARY TOKEA 2015 JE HUYU SI MUONGO
 
Katika Biblia takatifu nabii wa uongo anatafsiriwa kama mtu ajifanyaye Nabii ama kwa kujidanganya au kudanganya.

Nabii wa uongo ni yule aelezaye maono yenye hila na ulaghai ambayo kamwe hayawezi kukamilishwa...
Muongo mkubwa wewe kinaraka wa halima mdee. Gwajima kasema ataanzisha mahusianeo ya urafiki kati ya majimbo mawili.

Na kupata fursa ya kubadilishana uzoefu ikiwemo kutembeleana na kutumia fursa zitakazowezesha baadhi ya Raia hao kubadilishana mbinu mbalimbali za kimaendeleo.
 
Katika Biblia takatifu nabii wa uongo anatafsiriwa kama mtu ajifanyaye Nabii ama kwa kujidanganya au kudanganya.

Nabii wa uongo ni yule aelezaye maono yenye hila na ulaghai ambayo kamwe hayawezi kukamilishwa...
Unaweza uka 'prove' hizo ahadi za uongo?

Leo j3 naona upo 'on duty' unaanza kutema pumba zako!
 
Hakuna Mwanasiasa asiye Mwongo! Siasa ni Uongo na mchezo mchafu.
 
Kibaraka wa mabeberu ni yule aliyepewa hela za mikopo na mabeberu
Katika Biblia takatifu nabii wa uongo anatafsiriwa kama mtu ajifanyaye Nabii ama kwa kujidanganya au kudanganya.

Nabii wa uongo ni yule aelezaye maono yenye hila na ulaghai ambayo kamwe hayawezi kukamilishwa.

Tundu Lissu anazungumzia kutoa Bima ya afya kwa watu wote nchini raia na wasio raia, hii ni ahadi yenye hila.

Askofu Gwajima anaahidi kuwapeleka Marekani wananchi wote wa jimbo la Kawe huu ni unabii wa uongo.

Hivi Watanzania, hatuwezi kufanya siasa zilizosheheni ukweli?

Maendeleo tuliyoyapata kwa miaka 5 tunayaona kwa macho yetu tusikubali kudanganywa na vibaraka wa mabeberu.

Maendeleo hayana vyama!
 
NITAMJIBIA TUNDU LISSU , HUYO MWINGINE NI NDUGU YAKO WA DAMU (CCM).
Kwanza kabisa naomba nitahadharishe matumizi mabaya ya maandiko Matakatifu! Tuache kutumia vibaya maandiko ya Mungu kutengenezea uwongo wa kisiasa! Hata siku moja huwezi kuthibitisha mtu kuwa ni muongo kwa kutoa ahadi wakati hata muda ahadi yake bado haujafika!
After all unashangaa na kutaaje Tundu lissu kutoa huduma ya Bima kwa wananchi wote wakati serikali yake itakusanya kodi??
Jambo la kufahamu ni kwamba hizo fedha za kugharamia BIMA ya afya kwa wote ni fedha za watanzani wenyewe wala si mali itokayo mfukoni kwa mtu! Kama Baba wa Taifa Mwl, Nyerere aliweza kutoa huduma afya na Elimu BURE, tena akiwa hakusanyi hata kodi vya kutosha , Je Lissu ashindwe vipi hapo!?? Shida ya wanaCCM ni kuwa watu wa double standard, Leo unakataa hiki, kesho unakumbatia hichoicho! Nakumbuka mwaka 2010 Dk Slaa alipogombea kupitia CHADEMA aliposema akichaguliwa atatoa elimu bure, CCM mlimpinga vikali , mkisema ni jambo liloweza kutekelezeka hata kwa elimu ya msingi tu haiwezekani kutoa bure! Leo hii serikali ya CCM inatoa elimu bure tangu msingi mpaka Secondary! Je Lissu atashindwa vipi kutoa BIMA ya afya kwa wote? Kama mmeshindwa kuongoza nchi ni vema kupisha wenye mawazo na mtazamo mpya watuvushe tulipo kwama na sio kuzuia mawazo mapya kwa kutumia mifano isiyo na uhalisia! Nakuombea sana Mungu akutoe katika huo mkwamo wa fikra!
 
Katika Biblia takatifu nabii wa uongo anatafsiriwa kama mtu ajifanyaye Nabii ama kwa kujidanganya au kudanganya.

Nabii wa uongo ni yule aelezaye maono yenye hila na ulaghai ambayo kamwe hayawezi kukamilishwa.

Tundu Lissu anazungumzia kutoa Bima ya afya kwa watu wote nchini raia na wasio raia, hii ni ahadi yenye hila.

Askofu Gwajima anaahidi kuwapeleka Marekani wananchi wote wa jimbo la Kawe huu ni unabii wa uongo.

Hivi Watanzania, hatuwezi kufanya siasa zilizosheheni ukweli?

Maendeleo tuliyoyapata kwa miaka 5 tunayaona kwa macho yetu tusikubali kudanganywa na vibaraka wa mabeberu.

Maendeleo hayana vyama!
Ukiwa na akili timamu huwezi linganisha Gwajima na Tundu Lisu unless unatukana
 
Back
Top Bottom