PostGE2025 Ukiwauliza CHAUMMA na ACT - Wazalendo wanataka kuridhiana nini na CCM hawawezi kukwambia

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Hivi vyama 18 vinataka kuridhiana nini na CCM wakati vilisema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, na siku ya kuapishwa vilialikwa na vyote vikampongeza Samia kwa ushindi.

Ulishiriki uchaguzi ukasema ulikuwa huru na wa haki, na upo bungeni wengine wamo serikalini huko Zanzibar, sasa watuambie wanataka maridhiano na CCM ya nini, waongezewe wabunge wa mezani au.

Chama ambacho ni muhimili mkuu wa haya maridhiano ni Chadema ukiwatoa Chadema hakuna maridhiano, ndio maana Samia analia sana Lissu na Chadema wawepo ili apate uhalali wa kiti chake.
 
Hivi vyama 18 vinataka kuridhiana nini na CCM wakati vilisema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, na siku ya kuapishwa vilialikwa na vyote vikampongeza Samia kwa ushindi.

Ulishiriki uchaguzi ukasema ulikuwa huru na wa haki, na upo bungeni wengine wamo serikalini huko Zanzibar, sasa watuambie wanataka maridhiano na CCM ya nini, waongezewe wabunge wa mezani au.

Chama ambacho ni muhimili mkuu wa haya maridhiano ni Chadema ukiwatoa Chadema hakuna maridhiano, ndio maana Samia analilia sana Lissu na Chadema wawepo ili apate halali wa kiti chake.
Ni kama mashoga tu, watasema wanataka ushoga uhalalishwe. Vivyo hivyo nao watataka watambulike rasmi kwamba ni masiyeyemu B
 
Watu wengi sana hawajui maana ya Neno Maridhiano.
Wanalitamka bila kujua maana yake.
Kweli,

Reconciliation (Maridhiano), is the process of restoring friendly relations after a conflict to ensure they are equal. It means bringing two different things, parts, or people into agreement.

Sasa CHAUMMA wana conflicts zipi na CCM.
 
Hivi vyama 18 vinataka kuridhiana nini na CCM wakati vilisema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, na siku ya kuapishwa vilialikwa na vyote vikampongeza Samia kwa ushindi.

Ulishiriki uchaguzi ukasema ulikuwa huru na wa haki, na upo bungeni wengine wamo serikalini huko Zanzibar, sasa watuambie wanataka maridhiano na CCM ya nini, waongezewe wabunge wa mezani au.

Chama ambacho ni muhimili mkuu wa haya maridhiano ni Chadema ukiwatoa Chadema hakuna maridhiano, ndio maana Samia analia sana Lissu na Chadema wawepo ili apate halali wa kiti chake.
Kwani Chadema wanataka kuridhiana nini na wakati ilikuwa hiari yao kushiriki au kutoshiriki?
 
Sioni haja ya maridhiano. Tubaki hivi hivi mpaka 2030
 
Kwani Chadema wanataka kuridhiana nini na wakati ilikuwa hiari yao kushiriki au kutoshiriki?
No reforms na election ya Chadema ilikuwa na madai mengi yakiwemo,
Mabadiliko ya sheria za uchaguzi, katiba mpya, mkiti wao kuachiwa, mamia ya Viongozi wao wamekamatwa kwa kesi za ugaidi bila sababu za msingi, ruzuku yao imezuiwa bila sababu za misingi na mengine mengi.

Tuambie Chaumma anadai nini.
 
Kudai Katiba Mpya ni dai la miaka yote la vyama vya Siasa. Kudai Viongozi wafunguliwe ni si takwa la maridhiano bali la kisheria ndio maana kesi ipo mahakamani.
 
Hivi vyama 18 vinataka kuridhiana nini na CCM wakati vilisema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, na siku ya kuapishwa vilialikwa na vyote vikampongeza Samia kwa ushindi.

Ulishiriki uchaguzi ukasema ulikuwa huru na wa haki, na upo bungeni wengine wamo serikalini huko Zanzibar, sasa watuambie wanataka maridhiano na CCM ya nini, waongezewe wabunge wa mezani au.

Chama ambacho ni muhimili mkuu wa haya maridhiano ni Chadema ukiwatoa Chadema hakuna maridhiano, ndio maana Samia analia sana Lissu na Chadema wawepo ili apate halali wa kiti chake.
POST OF THE DAY.
 
Back
Top Bottom