PostGE2025 Ukiwauliza CHAUMMA na ACT - Wazalendo wanataka kuridhiana nini na CCM hawawezi kukwambia

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hivi vyama 18 vinataka kuridhiana nini na CCM wakati vilisema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, na siku ya kuapishwa vilialikwa na vyote vikampongeza Samia kwa ushindi.

Ulishiriki uchaguzi ukasema ulikuwa huru na wa haki, na upo bungeni wengine wamo serikalini huko Zanzibar, sasa watuambie wanataka maridhiano na CCM ya nini, waongezewe wabunge wa mezani au.

Chama ambacho ni muhimili mkuu wa haya maridhiano ni Chadema ukiwatoa Chadema hakuna maridhiano, ndio maana Samia analia sana Lissu na Chadema wawepo ili apate halali wa kiti chake.
💯👏
 
Vyama hivyo 18 ni mafisi. Wanasubiri mkono udondoke wale nyama. Watasubiri sana.
 
Hivi vyama 18 vinataka kuridhiana nini na CCM wakati vilisema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, na siku ya kuapishwa vilialikwa na vyote vikampongeza Samia kwa ushindi.

Ulishiriki uchaguzi ukasema ulikuwa huru na wa haki, na upo bungeni wengine wamo serikalini huko Zanzibar, sasa watuambie wanataka maridhiano na CCM ya nini, waongezewe wabunge wa mezani au.

Chama ambacho ni muhimili mkuu wa haya maridhiano ni Chadema ukiwatoa Chadema hakuna maridhiano, ndio maana Samia analia sana Lissu na Chadema wawepo ili apate halali wa kiti chake.
Jinsi ya Kula keki ya Taifa na kawaachia wenye3 nchi makombo
 
Nchimbi alisema maridhiano yatafanyika baada ya uchaguzi, Polepole alisema tusikubali kuingia kwenye uchaguzi bila mabadiliko, Jaji Warioba kupitia Mwalimu Nyerere Foundation walikuwa na vikao kati ya Ccm na Chadema lakini vikavunjika baada ya Tubdu Lissu kupewa kesi ya uhaini.
Hata Chadema wakiingia kwenye maridhiano nao watakuwa wajinga kwa sababu watakuwa wanacheza muziki wa Ccm na kusaliti damu ya watanganyika waliouawa.
 
Hivi vyama 18 vinataka kuridhiana nini na CCM wakati vilisema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, na siku ya kuapishwa vilialikwa na vyote vikampongeza Samia kwa ushindi.

Ulishiriki uchaguzi ukasema ulikuwa huru na wa haki, na upo bungeni wengine wamo serikalini huko Zanzibar, sasa watuambie wanataka maridhiano na CCM ya nini, waongezewe wabunge wa mezani au.

Chama ambacho ni muhimili mkuu wa haya maridhiano ni Chadema ukiwatoa Chadema hakuna maridhiano, ndio maana Samia analia sana Lissu na Chadema wawepo ili apate halali wa kiti chake.
Swali ni lile lile kua CHADEMA wanataka maridhiano na CCM ya nini wakati awakushiriki uchaguzi na serikali awaitambui ingawa wanaitii.
 
Hivi vyama 18 vinataka kuridhiana nini na CCM wakati vilisema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, na siku ya kuapishwa vilialikwa na vyote vikampongeza Samia kwa ushindi.

Ulishiriki uchaguzi ukasema ulikuwa huru na wa haki, na upo bungeni wengine wamo serikalini huko Zanzibar, sasa watuambie wanataka maridhiano na CCM ya nini, waongezewe wabunge wa mezani au.

Chama ambacho ni muhimili mkuu wa haya maridhiano ni Chadema ukiwatoa Chadema hakuna maridhiano, ndio maana Samia analia sana Lissu na Chadema wawepo ili apate halali wa kiti chake.
Mobutu alianzisha vyama 1000 na bado mambo yalikuwa magumu
 
Kama walivyotumika "kuhalalisha" uchaguzi oktoba na maridhiano pia wanatumia staili ile ile
 
Hujui sababu ya Chadema kutoshiriki uchaguzi.
Nazijua moja wapo ni kukosa mpinzani imara dhidi ya CCM.Pia hamna umuhimu wa kutaka maridhiano wakati sisi atukushiriki uchaguzi.
 
ACT na CHAUMWA waliahidiwa viti 50 Bungeni. Ahadi haijatimizwa wanahitaji maridhiano.
 
Back
Top Bottom