Ni kama mashoga tu, watasema wanataka ushoga uhalalishwe. Vivyo hivyo nao watataka watambulike rasmi kwamba ni masiyeyemu BHivi vyama 18 vinataka kuridhiana nini na CCM wakati vilisema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, na siku ya kuapishwa vilialikwa na vyote vikampongeza Samia kwa ushindi.
Ulishiriki uchaguzi ukasema ulikuwa huru na wa haki, na upo bungeni wengine wamo serikalini huko Zanzibar, sasa watuambie wanataka maridhiano na CCM ya nini, waongezewe wabunge wa mezani au.
Chama ambacho ni muhimili mkuu wa haya maridhiano ni Chadema ukiwatoa Chadema hakuna maridhiano, ndio maana Samia analilia sana Lissu na Chadema wawepo ili apate halali wa kiti chake.
Kweli,Watu wengi sana hawajui maana ya Neno Maridhiano.
Wanalitamka bila kujua maana yake.
Kwani Chadema wanataka kuridhiana nini na wakati ilikuwa hiari yao kushiriki au kutoshiriki?Hivi vyama 18 vinataka kuridhiana nini na CCM wakati vilisema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, na siku ya kuapishwa vilialikwa na vyote vikampongeza Samia kwa ushindi.
Ulishiriki uchaguzi ukasema ulikuwa huru na wa haki, na upo bungeni wengine wamo serikalini huko Zanzibar, sasa watuambie wanataka maridhiano na CCM ya nini, waongezewe wabunge wa mezani au.
Chama ambacho ni muhimili mkuu wa haya maridhiano ni Chadema ukiwatoa Chadema hakuna maridhiano, ndio maana Samia analia sana Lissu na Chadema wawepo ili apate halali wa kiti chake.
Sioni haja ya maridhiano. Tubaki hivi hivi mpaka 2030Hivi vyama 18 vinataka kuridhiana nini na CCM wakati vilisema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, na siku ya kuapishwa vilialikwa na vyote vikampongeza Samia kwa ushindi.
Ulishiriki uchaguzi ukasema ulikuwa huru na wa haki, na upo bungeni wengine wamo serikalini huko Zanzibar, sasa watuambie wanataka maridhiano na CCM ya nini, waongezewe wabunge wa mezani au.
Chama ambacho ni muhimili mkuu wa haya maridhiano ni Chadema ukiwatoa Chadema hakuna maridhiano, ndio maana Samia analia sana Lissu na Chadema wawepo ili apate halali wa kiti chake.
No reforms na election ya Chadema ilikuwa na madai mengi yakiwemo,Kwani Chadema wanataka kuridhiana nini na wakati ilikuwa hiari yao kushiriki au kutoshiriki?
Kudai Katiba Mpya ni dai la miaka yote la vyama vya Siasa. Kudai Viongozi wafunguliwe ni si takwa la maridhiano bali la kisheria ndio maana kesi ipo mahakamani.No reforms na election ya Chadema ilikuwa na madai mengi yakiwemo,
Mabadiliko ya sheria za uchaguzi, katiba mpya, mkiti wao kuachiwa, mamia ya Viongozi wao wamekamatwa kwa kesi za ugaidi bila sababu za msingi, ruzuku yao imezuiwa bila sababu za misingi na mengine mengi.
Tuambie Chaumma anadai nini.
Sawa mwambie mama yenu aache kuvisumbua vyama shikizi.Sioni haja ya maridhiano. Tubaki hivi hivi mpaka 2030
Hizo ni kesi za kisiasa kama ni za kisheria Samia anawaita wazungumze nini.Kudai Katiba Mpya ni dai la miaka yote la vyama vya Siasa. Kudai Viongozi wafunguliwe ni si takwa la maridhiano bali la kisheria ndio maana kesi ipo mahakamani.
Ulitaka asiwaite? Kwanini?Sasa Samia anawaitia nini.
POST OF THE DAY.Hivi vyama 18 vinataka kuridhiana nini na CCM wakati vilisema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, na siku ya kuapishwa vilialikwa na vyote vikampongeza Samia kwa ushindi.
Ulishiriki uchaguzi ukasema ulikuwa huru na wa haki, na upo bungeni wengine wamo serikalini huko Zanzibar, sasa watuambie wanataka maridhiano na CCM ya nini, waongezewe wabunge wa mezani au.
Chama ambacho ni muhimili mkuu wa haya maridhiano ni Chadema ukiwatoa Chadema hakuna maridhiano, ndio maana Samia analia sana Lissu na Chadema wawepo ili apate halali wa kiti chake.
Equation ya Samia imegoma ndio anaitaka chadema iwemo kwenye maridhiano kwa kutoshirikiKwani Chadema wanataka kuridhiana nini na wakati ilikuwa hiari yao kushiriki au kutoshiriki?