PostGE2025 Ukiwauliza CHAUMMA na ACT - Wazalendo wanataka kuridhiana nini na CCM hawawezi kukwambia

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mimi kama Msuluhishi Mkuu wa Taifa nawaangalia tu
 
💯👏
 
Vyama hivyo 18 ni mafisi. Wanasubiri mkono udondoke wale nyama. Watasubiri sana.
 
Jinsi ya Kula keki ya Taifa na kawaachia wenye3 nchi makombo
 
Nchimbi alisema maridhiano yatafanyika baada ya uchaguzi, Polepole alisema tusikubali kuingia kwenye uchaguzi bila mabadiliko, Jaji Warioba kupitia Mwalimu Nyerere Foundation walikuwa na vikao kati ya Ccm na Chadema lakini vikavunjika baada ya Tubdu Lissu kupewa kesi ya uhaini.
Hata Chadema wakiingia kwenye maridhiano nao watakuwa wajinga kwa sababu watakuwa wanacheza muziki wa Ccm na kusaliti damu ya watanganyika waliouawa.
 
Swali ni lile lile kua CHADEMA wanataka maridhiano na CCM ya nini wakati awakushiriki uchaguzi na serikali awaitambui ingawa wanaitii.
 
Mobutu alianzisha vyama 1000 na bado mambo yalikuwa magumu
 
Kama walivyotumika "kuhalalisha" uchaguzi oktoba na maridhiano pia wanatumia staili ile ile
 
Hujui sababu ya Chadema kutoshiriki uchaguzi.
Nazijua moja wapo ni kukosa mpinzani imara dhidi ya CCM.Pia hamna umuhimu wa kutaka maridhiano wakati sisi atukushiriki uchaguzi.
 
ACT na CHAUMWA waliahidiwa viti 50 Bungeni. Ahadi haijatimizwa wanahitaji maridhiano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…