Weka speaker!Bando hata likiwa dogo, wakija wanakwambia lipia kodi.
Speaker hata kama inaongea mtaa mzima wanasikia, hakuna mtu atakudai kodi.
Speaker ni muhimu sana kwenye biashara yako
Mbona hiyo kodi ya bango wamepangiwa..?!Huwezi kumpangia mfanyabiashara