youngkato JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 3,811 Reaction score 3,888 Apr 29, 2025 #1 Bando hata likiwa dogo, wakija wanakwambia lipia kodi. Speaker hata kama inaongea mtaa mzima wanasikia, hakuna mtu atakudai kodi. Speaker ni muhimu sana kwenye biashara yako
Bando hata likiwa dogo, wakija wanakwambia lipia kodi. Speaker hata kama inaongea mtaa mzima wanasikia, hakuna mtu atakudai kodi. Speaker ni muhimu sana kwenye biashara yako
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,776 Reaction score 42,933 Apr 29, 2025 #2 Hz speaker aisee zinapiga kelele hata ri ni kheri wangezidiscourage kwa kuweka free kodi kwa mabango.
Hz speaker aisee zinapiga kelele hata ri ni kheri wangezidiscourage kwa kuweka free kodi kwa mabango.
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 15,331 Reaction score 22,307 Apr 29, 2025 #3 youngkato said: Bando hata likiwa dogo, wakija wanakwambia lipia kodi. Speaker hata kama inaongea mtaa mzima wanasikia, hakuna mtu atakudai kodi. Speaker ni muhimu sana kwenye biashara yako Click to expand... Weka speaker!
youngkato said: Bando hata likiwa dogo, wakija wanakwambia lipia kodi. Speaker hata kama inaongea mtaa mzima wanasikia, hakuna mtu atakudai kodi. Speaker ni muhimu sana kwenye biashara yako Click to expand... Weka speaker!
youngkato JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 3,811 Reaction score 3,888 Apr 30, 2025 Thread starter #4 Inside10 said: Hz speaker aisee zinapiga kelele hata ri ni kheri wangezidiscourage kwa kuweka free kodi kwa mabango. Click to expand... Huwezi kumpangia mfanyabiashara
Inside10 said: Hz speaker aisee zinapiga kelele hata ri ni kheri wangezidiscourage kwa kuweka free kodi kwa mabango. Click to expand... Huwezi kumpangia mfanyabiashara
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,776 Reaction score 42,933 Apr 30, 2025 #5 youngkato said: Huwezi kumpangia mfanyabiashara Click to expand... Mbona hiyo kodi ya bango wamepangiwa..?!
youngkato said: Huwezi kumpangia mfanyabiashara Click to expand... Mbona hiyo kodi ya bango wamepangiwa..?!
youngkato JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 3,811 Reaction score 3,888 Apr 30, 2025 Thread starter #6 Inside10 said: Mbona hiyo kodi ya bango wamepangiwa..?! Click to expand... Waweke kodi