Ukiweka ushabiki pembeni; Wanaume tumeumbwa ili kupiga bao moja tu kama kuku wafanyavyo na kusepa

Tafiti zinaonyesha asilimia karibu 70 ya wanawake hawajawahi kufika kileleni hata mara moja katika maisha yao!

Infact, wanawake wengi wala hawajui kufika kileleni ni kitu gani.
 
Sema wakuu ukizoea ndom nayo majanga matupu siku ukipiga kavu dakika mbili tu wazungu hao..ni vile tu hatuwezi kuacha kutumia ndom..

Mimi nna mda sana sijatumia ndom. Sasa juzi nikakutana na kademu kamoja kakagoma kabisa kwenda dry. Aisee tumeshinda kutwa nzima nasugua mbususu bila mafanikio yoyote yale ya kuwaona wazungu. Yaani ilikua kama nalima tu shamba wala hamna ladha yotote kwakweli.
 
Wana matatizo hao ambao haqatisheki
 
Ndio mkuu kitaalam huchukuliwa kama tatizo nilisoma makala kadhaa kuhusu hilo, ni kama ile mtu anazaliwa hana tatizo lolote kiafya ila mrefu sana au mnene sana.
🤔🤔Basi tatizo langu ni zuri maana linawakuna sn hawa watoto
 
Duuuuh,kama ni hivyo sawa

Tunachokataa ni ile ya kimoko cha dakika 1-10

Kama ni kimoko dakika 30-1hrs haina shida
 

Hii ndo kwanza naisikia leo
 
Tafiti zinaonyesha asilimia karibu 70 ya wanawake hawajawahi kufika kileleni hata mara moja katika maisha yao!

Infact, wanawake wengi wala hawajui kufika kileleni ni kitu gani.
Hapo tatizo ni la nani mwanamke au mwanaume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…