Unamaanisha asilimia 12 ni pesa yako ya mfukoni na kurudisha gharama za uzalishaji zitakuwa na asilimia yake ?12% ni hela yako ya mfukoni maana yake hapo ni zaidi ya 12% iyo ziada ndio niliweka kwenye hesabu za kulipia wages, kodi na admin coast.
Asante kwa kunipa onyoamesahau kukwambiakuwa pia inaweza kupotea ndani ya dakika.
Usijaribu mkuu
12% ndio faida unayoweka mfukoni kwa maaa nyingine asilimia ya riba ni zaidi ya 12%Unamaanisha asilimia 12 ni pesa yako ya mfukoni na kurudisha gharama za uzalishaji zitakuwa na asilimia yake ?
😂😂😂😂😂😂Mtu wa Forex atajitokeza hapa akwambie ukinipa mimi hio hela sijui pips zikifanya nini ndani ya siku 2 nimeingiza mil.50,hahahahah
Sent from my iPhone using JamiiForums
karibuAsante kwa kunipa onyo
Umejibu vizuri ila kwa experience yang, the earlier the return, the more the risk. Wabongo hatupend riskInategemea Umeamua kuchagua biashara gani na unaingiza ngap kwa siku maana kwa akil za vijana wa kitz atakmbilia kufungua duka la nguo ila kwa akili za waarabu atanunua ata coaster mbovu siti 30 au 40 aipange Mwanza- kahama kwa siku akitoa gharama zote 170-220 hakosi miez6 tu au 8 hela imerudi biashara za hawa jamaa hela inarudg ndan ya mwaka tu ila wabongo paka uhangaike miaka mitano au mitatu
amesahau kukwambiakuwa pia inaweza kupotea ndani ya dakika.
Usijaribu mkuu
nilifanikiwa mkuu ila sio partner amenipa mkopo na nimeanza kurejesha nategemea mwezi wa pili ntakuwa nimemaliza.kheri ya mwaka mpya kwako piaUlifanikiwa kupata partner wa kufanya nae ile biashara mkuu? Heri ya mwaka 2019.
nilifanikiwa mkuu ila sio partner amenipa mkopo na nimeanza kurejesha nategemea mwezi wa pili ntakuwa nimemaliza.kheri ya mwaka mpya kwako pia
Ahsante nakuombea mwaka 2019 ukawe mwaka wa mafanikio makubwa kwakoNakutakia kila la kheri, mipango yako ifanikiwe.
Duka la Spea ni makini sana, maana kila kitu unakiuza kwa jinsi ulivyokinunua. Kuna ambavyo vitafidia magepu ya vingine kujazia faida.Duka la spea za magari used from japan unalionaje mkuu,kuna mwana anataka kufungua.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Itategemea na bidhaa yenyewe ila minimum ni 50%. Mfano bidhaa iwe 1000 ambayo mi nitaiuza 1500. Sio biashara ya vocha unauza 500 unapata 50 hio ndio aina ya uwekezaji ambao siupendeleiWewe binafsi uko tayari kuchukua faida ya kiasi gani kwa kila bidhaa unayouza baada ya kutoa gharama zote za uzalishaji, mishahara, kodi na usambazaji ?
Bro,,una idea juu ya hyo biashara ya betting??Duka la Spea ni makini sana, maana kila kitu unakiuza kwa jinsi ulivyokinunua. Kuna ambavyo vitafidia magepu ya vingine kujazia faida.
Asee sina ufahamu nayo sana ila nachojua ni biashara ambayo inahitaji mtaji mkubwa sana!
You must be very rich now....70% return in a business congrats!Yeah akili za mmbongo ndio hizo hizo kama ulikuwepo, atalaza hela yote kwenye viatu, jeans tshirt n.k. Duka flani kubwa ila anachokipata ni faida kidogo sana kwa mwaka.
Mi huwa kwenye investment naangalia ratio ya returns on investment.Siwezi kuwekeza katika biashara yeyote ya kunirudishia chini ya 70% of the investment ndani ya miezi 6, yani imepungua sana basi ni 50% ya mtaji iwe imerudi!
Tuoneshe Forex uliofanya ukiwekeza 20m baada ya mwezi ukapata 20m. Nyinyi watu wa Forex kila siku mnasema ukiwekeza milioni hizi baada ya mwezi unapata 20,30 or 50m ila mkiweka screenshot ni za $100/$200 hela ambayo mtu wa Kariakoo anapata kwa muda mfupi sana.Inategemeana na aina ya biashara,ukiwekeza 20m kwenye forex baada ya mwezi utakupata kima cha chini ambacho ni 20m lakn ukiweza kwenye kulima mpunga itategemeana na hali ya hewa kwani unaweza usipata chochote!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nauli ni elfu 10 mkuu, utajua hiyo njia sasa ina kampuni ngapi!? Afu kila Saa Kuna basi.Inategemea Umeamua kuchagua biashara gani na unaingiza ngap kwa siku maana kwa akil za vijana wa kitz atakmbilia kufungua duka la nguo ila kwa akili za waarabu atanunua ata coaster mbovu siti 30 au 40 aipange Mwanza- kahama kwa siku akitoa gharama zote 170-220 hakosi miez6 tu au 8 hela imerudi biashara za hawa jamaa hela inarudg ndan ya mwaka tu ila wabongo paka uhangaike miaka mitano au mitatu