SoC02 Ukiwekeza kwenye maeneo haya 9 lazima utatoboa

SoC02 Ukiwekeza kwenye maeneo haya 9 lazima utatoboa

Stories of Change - 2022 Competition

Tanzania wani

Member
Joined
Jul 26, 2022
Posts
6
Reaction score
4
GAMES AND SPORT
eneo hili ni pana sana na lina mambo mengi sana ndani yake na kundi kubwa 98%ya wakazi wa dunia lazima wawe kwenye eneo hili kila siku mchana na usiku ukiwekeza hapo uaona mafanikio lina mabilionea wengi sana duniani hapa

SCIENCE
Eneo hili si la kila mtu anaweza kuwekeza bali ni yule wenye uwelewa wa eneo hili ambalo lina mambo mengi sana na lina mabilionea wengi sana duniani linahitaji mtaji mkubwa! Eneo hili hapa afrika halina wachangamkiaji kutokana kuhaibiwa mifumo yetu ila ulaya ndio eneo linaloheshimisha mataifa yao na wameweka kipaumbele sana maana ndio kitovu cha mambo mengi na wanawekeza si kitoto

EDUCATION
Eneo hili ni mtambuka sana linafursa nyiiiiingi sana ndani yake maana 99%watu huwa kwenye eneo hili kila siku
Na pengine haliitaji mtaji wa fedha hata wa kipaji tu unaweza kujikuta upo kwenye uchumi mzuri na hata ukiwa na mtaji mdogo unaweza kuwekeza na ukajitanua na kuwa mbali! Japo kwa upande wa afrika halionekani likifanya vizuri kama ulaya na asia!

TECHNOLOGY
Hili nalo ni eneo ambalo ukijikita nalo ila lina sehemu na vijisehemu vingi sana ndani yake za wewe kujipatia kipato linahitaji mtaji mdogo na hadi mtaji mkubwa na linalipa saaaaana maana eneo hili ndilo hufanya dunia iwe kijiji utaweza kujiingizia mapesa kila sekunde ni wewe tu na mtaji wako!!
Mataifa makubwa yamejikita sana eneo hili kwenye nyanja tofauti na wanaingiza mtonyo wa uhakika!!
Kwa afrika mmh ni ma final users ila nje ya afrika huingizia nchi zao madolari

HEALTH
Hapa napo ni balaa kuna faida kubwa sana kwenye eneo hili maana matajiri wakubwa pia wamejikita humu kujipigia pesa unashangaa nini kuingia ujichagulie eneo la kupiga pesa!! Nje ya afrika eneo hili huingiza mapesa mengi nchi zao na makampuni yao

PEOPLE(SERVICES)
Hakuna kitu chenye pesa kama eneo la kuwatumia watu kwenye kufanya huduma maana unanunua elimu zao,nguvu zao,vipaji vyao,muda wao,nk kuweza kujipatia ubilionea ni mtaji wako tu nalo lina mambo mengi saaana ndani yake!!

ENTERTAINMENT
Hapa napo kuna mabilionea wengi sana na mkwanja upo nje nje maana lina mambo mengi saaaana wewe tu ushindwe!!nadhani haipiti dakika kwenye maisha yako eneo hili hujaliona !!

FOOD &BELERAGE
Eneo hili usiombe bwana linahitajika kila sekunde unaweza kujiingiza mkwanja wa maana!nadhani ni eneo muhimu sana duniani na nyeti ingia utokee mbele !

FINANCE
daaaa hapa ni mtaji wako na nguvu zako na lazima utoboe hili eneo ni kubwaaaaa sana lina mambo mengiiiii sana lina hitaji mtaji mdogo na mkubwa pengine mkubwa zaidi na linahitaji taaluma na ujuzi na linalipa kweli kweli si mijini wala vijijini linaswaga kila pahali ni wewe na mtaji wako na eneo utakalojikita ili likuheshimishe!!
 
Upvote 1
Biashara yako ikiwafanya watu wasahau shida zao na kufurahi kwa kipindi fulani basi upo kwenye nafasi nzuri ya kupiga pesa

Mfano biashara ya hotel,night clubs etc
 
Tunaowekeza kwenye mapenzi inakuaje aisee[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom