BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Viongozi wa kisiasa wanaposema wananchi ni wavumilivu wanamaanisha moja ya kipimo cha uvumilivu ni kusimama kwenye daladala mkiwa mmejazana afu hali ya hewa ni joto.
Ni hatari sana! Unaweza ukakufuru Mungu ukichungulia dirishani wajanja wapo WanaDrive mandinga full kipupwe!Viongozi wa kisiasa wanaposema wananchi ni wavumilivu wanamaanisha moja ya kipimo cha uvumilivu ni kusimama kwenye daladala mkiwa mmejazana afu hali ya hewa ni joto.
Wee jamaa kwa uchokozi!! HujamboIlaaniwe CCM ya ChoiceVariable kuwafanya wakazi wa Dar kuishi maisha ya shida sana katika usafiri wa umma.
Morogoro road kuitafuta kimara mwishoNa hapo omba kusiwe na foleni kitu ambacho ni kigumu sana hasa nelson mandela road
Haya yote ni mambo ya kujitakia. 1. Watu wameshazoea na kufurahia kupangwa kama magunia. 2. Watawala ku-fail totally kwa kila jambo.Viongozi wa kisiasa wanaposema wananchi ni wavumilivu wanamaanisha moja ya kipimo cha uvumilivu ni kusimama kwenye daladala mkiwa mmejazana afu hali ya hewa ni joto.
Angalau huko,huku mandela road ndo balaa hasa kuanzia tazara,buguruni hadi kuitafuta externalMorogoro road kuitafuta kimara mwisho
machinga complex to chanika balaa zitoViongozi wa kisiasa wanaposema wananchi ni wavumilivu wanamaanisha moja ya kipimo cha uvumilivu ni kusimama kwenye daladala mkiwa mmejazana afu hali ya hewa ni joto.
Ukiwa umesimama au?machinga complex to chanika balaa zito
YesUkiwa umesimama au?