Ukiweza kusimama kwenye daladala ya Mbagala mpaka Mbezi, uwezo wako wa uvumilivu upo juu

Ukiweza kusimama kwenye daladala ya Mbagala mpaka Mbezi, uwezo wako wa uvumilivu upo juu

Ahaa haiwezekani.bna atashuka mtu hata magomeni .looh
Ni kweli hata hapo Uhasibu lazima mtu ashuke, ila hio route ya Mbagala kuelekea Mbezi mimi naiona km fupi hivi ile route ya Mbagala kuelekea Kawe ndio naiona ndefu sasa usiombe ufike pale maeneo ya Karume ukute kuna Jam unaweza ukafata na ile mikelele umesimama toka Mbagala unafika pale unakuta mikelele kibao huko ndani umebinywa makalio
 
Acha kudeka, hapo panalingana na umbali wa Mwanza hadi Tabora?
 
Viongozi wa kisiasa wanaposema wananchi ni wavumilivu wanamaanisha moja ya kipimo cha uvumilivu ni kusimama kwenye daladala mkiwa mmejazana afu hali ya hewa ni joto.
Huwezi kusimama Hadi mwisho wa Gari labda iwe uwamuzi wako Tu. Sababu abiria wengine wanashuka vituo vya njiani.

Kuna siku nilisimaka kutoka mbezi magufuli Hadi pale Kwa Azizi Ally ndio nikapata City.

Mnakuta abiria mmebanana unabambia T@ko hadi Hadi unaona noma alafu unakuta dada analeta makusudi anakuangalia alafu anatabasamu sababu tayari kaona jogoo anawika.
 
Daah umenikumbsha.

Kusimama kuna raha yake asikwambie mtu endapo umepakana na mdada mwenye makario makubwa.

Siku moja nilisimama kiuno changu kikamezwa na makario ya mchangaz alikua kweny dela.
Nilimfanyia makusud gari likipga brek pia yey mchezo ulimnogea akaanza uchokoz.
Alishukia njian ila aliniacha nataka kutoboa suruali asee
 
Hii kusimama kuna siku nilikula tunda kimasihara bhana.
Kuna usiku mmoja mida ya saa mbili kama mnavojua ukiwa posta huko daradara hugombaniwa.

Nikasimama na mdada iv nahs alikua anatoka kazin kachoka, akawa anasinzia kasimama si akajilengesha kifuan kwangu kalala nami nikajua kachoka nikamsapoti alale kwangu, sikuonyesha kinyongo.

watu walihs ni dem wang, alishukia rangi tatu ila akaniachia namba.
 
Viongozi wa kisiasa wanaposema wananchi ni wavumilivu wanamaanisha moja ya kipimo cha uvumilivu ni kusimama kwenye daladala mkiwa mmejazana afu hali ya hewa ni joto.
Sometimes unasimamia mguu mmoja au vidole kwa kukosa nafasi ya kuweka miguu yote
 
Back
Top Bottom