AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Ni kweli hata hapo Uhasibu lazima mtu ashuke, ila hio route ya Mbagala kuelekea Mbezi mimi naiona km fupi hivi ile route ya Mbagala kuelekea Kawe ndio naiona ndefu sasa usiombe ufike pale maeneo ya Karume ukute kuna Jam unaweza ukafata na ile mikelele umesimama toka Mbagala unafika pale unakuta mikelele kibao huko ndani umebinywa makalioAhaa haiwezekani.bna atashuka mtu hata magomeni .looh
Huwezi kusimama Hadi mwisho wa Gari labda iwe uwamuzi wako Tu. Sababu abiria wengine wanashuka vituo vya njiani.Viongozi wa kisiasa wanaposema wananchi ni wavumilivu wanamaanisha moja ya kipimo cha uvumilivu ni kusimama kwenye daladala mkiwa mmejazana afu hali ya hewa ni joto.
πππππNi hatari sana! Unaweza ukakufuru Mungu ukichungulia dirishani wajanja wapo WanaDrive mandinga full kipupwe!
Ila Dar jamaniii, khaaaah ππππCha kushangaza zaidi hiyo nafasi ya kusimama tu inagombaniwa nusu kuvunjana shingo
Kujitakia kivip MkuuHaya yote ni mambo ya kujitakia.
Dar watu shida wamezizoea ila zinawamaliza mdogo mdogoIla Dar jamaniii, khaaaah ππππ
mara ya kwanza kuja dar, nilishangaa akina mama wanapitia dirisha la garIla Dar jamaniii, khaaaah
Kwa kweli. πππDar watu shida wamezizoea ila zinawamaliza mdogo mdogo
Mbagala 1 hiyo, ππππmara ya kwanza kuja dar, nilishangaa akina mama wanapitia dirisha la gar
yaap mbagala moja hyo, ila maisha ya dar had ujipange.Mbagala 1 hiyo,
Mbona karibu sanaViongozi wa kisiasa wanaposema wananchi ni wavumilivu wanamaanisha moja ya kipimo cha uvumilivu ni kusimama kwenye daladala mkiwa mmejazana afu hali ya hewa ni joto.
Sometimes unasimamia mguu mmoja au vidole kwa kukosa nafasi ya kuweka miguu yoteViongozi wa kisiasa wanaposema wananchi ni wavumilivu wanamaanisha moja ya kipimo cha uvumilivu ni kusimama kwenye daladala mkiwa mmejazana afu hali ya hewa ni joto.